mhogo mtamu3
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 344
- 250
teh teh tehHiyo namba mbili dah
Hizi mentions hajaziona bado, angeshafika zamani sanaHahaaa hakikia hizi ndo mada zake, na nitashangaa kama asipochangia ktk uzi huu, teh
Bora nihongwe pesa, ukihongwa asset siku ya kuachana jiandae kufedheheka. Wananyang`anya kila kitu. We nipe pesa ninunue nachotaka na sio unileteee hakuu sitaki.
Mwanaume mlegevulegevu na mrembo hivyo nani ataka? Hanivutii kwa chochote mie![]()
![]()
ww unamuona mmbaya lakin wanawake wenzio wanamlilia wanataman wampate aisee inatubidi tusije na wake zetu "dalisalama"
Hata sipendiWe hupendi kuhongwa bibie??
Hivi kuhongwa ni sawa sawa na kuhudumiwa??Aah anapenda kuhudumiwa
HapanaHivi kuhongwa ni sawa sawa na kuhudumiwa??
naomba unihonge naomba unihonge kwa sabbu hongo ni tamuuuUsiponga anakimbia mazima.
Unakosa vyote
Mbona uzi unahusu kuhongwa halafu umemwita fulani huku ambae anapenda kuhudumiwa???Hapana
Oooh Yeye anaelewa kwa nini nimemuitaMbona uzi unahusu kuhongwa halafu umemwita fulani huku???