Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Umuhimu wa kuhonga katika mapenzi

Ila ukitaka kuenjoi inabidi kuhonga vyote vyote.

Kahela kidogo, na ka asset kidogo, hapo mtoto mzuri hachomoki.
Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.
 
Hi I mada itabidi nimpelekee nanihii nae ajifunze kuhonga
 
yaani mwanaume anayenipa hela namuheshimu kupita maelezo, yaani namuheshimu hadi naogopa. wacha pesa iitwe pesa bwana.
I love it, so if you have it basi i'll love you.
Unaachaje kumheshimu kwa mfano?
Mimi nanyenyekea kabisaaaa.
 
Ukitaka kummaliza honga vyote, Kahela kidogo, na ka asset kidogo kama kajumba vile, vifenicha, ka-TV, Kafriji, Kagari na kahela ka -kumalizia kadegree kake hapo umemaliza, hata akitaka kuolewa na mtu mwingine ni lazima wewe ndiye utakuwa Mshenga.

 
jaman ni kama majukumu ya mama kwenye familia ni natural baba anasaidia etiii! akitupia ha vocha ya 5000/ kuna kaladha flan.
Majukumu yapi zaidi ya kupanga matumizi na kutumia kilichotolewa na Baba kama hali ukiruhusu Mama anachangia lakini sio lazima na sio wajibu wake maana siku Baba anamwoa alijiona yuko tayari kutunza familia.
 
Majukumu yapi zaidi ya kupanga matumizi na kutumia kilichotolewa na Baba kama hali ukiruhusu Mama anachangia lakini sio lazima na sio wajibu wake maana siku Baba anamwoa alijiona yuko tayari kutunza familia.
Yani unauliza na kujipa majibu hapohapo!
 
Naomba mshtue Heaven Sent mwambie naomba anionee kahuruma dear, ila mwambie kuwa mimi ni masikini sana!
Khaa jamani kwa hiyo wewe unahisi huwezi kupendwa kabisa, bali unaonewa tu huruma? Unadhani kila mwanaume anayependwa ni anahonga?
Kisa cha mimi kujikatia tamaa kiasi hicho ni kwamba mimi ni masikini sana!
 
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.

Hali hii humfanya yeye kushindwa kutolipa mazuri kwako.
Wengi kabla ya kuomba papuchi hutanguliza hongo kwanza, si lazima iwe pesa hata hongo ya sifa za uongo na ukweli.

Kwa kuhonga kwako inamlazimu na yeye kulipa fadhila kwa kuonesha upendo wa dhati na utamfanya azidishe mapenzi kwako.



2. KUHONGA KUNAJENGA SANA KUMBUKUMBU KATIKA MAPENZI:

Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako inakusaidia wewe kujijenga katika mawazo yake na endapo kama itatokea mkaachana nae basi pindi mpenzi wako atakapokuwa anaziona zawadi zako zitamfanya akukumbuke kwa mengi na atahisi kama kuachana na wewe kwake kuna tofauti na atajihisi kupoteza vingi toka kwako na kamwe kumbukumbu yako kwake haitofutika kila anapoona vitu ulivyomhonga.

Jitahidi sana unapohonga usihonge pesa tu, honga vitu vya kudumu maana huwa asset yako ya baadaye, pindi unapotokea mkwaruzano baina yenu.

Pesa huwa ni hongo inayovutia kwa muda mfupi na husaidia kupata kile unachokitaka kwa muda mfupi, ila jua atazitumia zitaisha utakuwa hujajenga misingi imara ya mapenzi.

Simaanishi kuwa usimpe mpenzi wako hela, hapana ila inabidi ufahamu kuwa pesa hutumika katika kukidhi mahitaji na sio katika kuboresha mapenzi.

Aisee jifunzeni kuhonga mpunguze stress za mapenzi.

TUMIA LUGHA TOFAUTI BASI, SEMA KUMHUDUMIA, UKISHASEMA KUHONGA UNAHARIBU, HONGO INA MAANA MBAYA.
 
Back
Top Bottom