Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,015
- 1,436
- Thread starter
- #21
Nimesema nilikua nasoma diploma nikaisha nta level 4.Huna Diploma.. NTA level 4 ni Certificate futa hapo kwenye Diploma
Nimesema nilikua nasoma diploma nikaisha nta level 4.Huna Diploma.. NTA level 4 ni Certificate futa hapo kwenye Diploma
Sasa NTA level 4 sio Diploma ni Basic Certificate au haujui? Diploma inaanza na NTA level 5..Nimesema nilikua nasoma diploma nikaisha nta level 4.
Uongo upunguze kidogo nimesoma A level pia.. ila unasema uongoA level ni muhimu na unaelewa mambo mengi Sana
Kuliko hizo Diploma za kukariri na kuokota okota maelezo google
Mtu mwenye D4 hafu ambaye hana msingi wa sayansi. Kumpa hizo degree na diploma zilisho sheheni Maarifa ya miaka 1950s. Nikumtishwa mzigo mzito sanaLabda uzungumzie mtu Aliyesoma diploma peke ake ila ambaye ameunganisha degree usimchukulie poa
Picha linaanzia chuo tu mtu wa a level asilimia 90 ya vitu vinakuwa vipya ila wa diploma ni kama anafanya muendelezo wa aliyoyasoma
Mbona ukoma na vitu ambavyo mm sijaandika.Sasa NTA level 4 sio Diploma ni Basic Certificate au haujui? Diploma inaanza na NTA level 5..
Uongo upunguze kidogo nimesoma A level pia.. ila unasema uongo
Best student wa Muhas Mwaka huu hajatokea advance Amesoma diploma halafu kingine sio kila anayesoma diploma Amepata d4 watu wana vibanda vyao wanaenda diploma na kuacha a levelMtu mwenye D4 hafu ambaye hana msingi wa sayansi. Kumpa hizo degree na diploma zilisho sheheni Maarifa ya miaka 1950s. Nikumtishwa mzigo mzito sana
Kusoma pekee haipelekei wewe kupinga hoja. Elaborate moreUongo upunguze kidogo nimesoma A level pia.. ila unasema uongo
Hatuzungumzii mshahara tunazungumzia elimu.. ushaelewa nini namaanisha nimesoma A level, nimesoma Diploma, nimesoma Degree kwa hio naelewa ninachosema kote nimepiga kwata...
Hata ukimaliza form four ukaenda miaka miwili chuo, pia unapanuka kiakili.A level inakupanua akili na kukupa muda wa kukua kua kabla ya kwenda kupambana na realities za maisha chuoni
Sasa mimi ninavyokwambia mambo mengi yanayosomwa huko diploma na degree. Mengi ni outdated haijalisha ni best student au last student wote wapo hapo hapo. Wakati huohuo advance shehemu kubwa ni sayansi yenyewe haibadiliki ndio msingi. Ukiwa nayo itakusaidi kufanya judgement huko mbeleni.Best student wa Muhas Mwaka huu hajatokea advance Amesoma diploma halafu kingine sio kila anayesoma diploma Amepata d4 watu wana vibanda vyao wanaenda diploma na kuacha a level
Stuka mzee usikariri
Ninachosema na mnachosema nyinyi mnasema uongo.. kuna vitu vingi vya kuviangalia nyinyi mnaangalia juu juu tuKusoma pekee haipelekei wewe kupinga hoja. Elaborate more
Kuna mwamba katoka hapa na Diploma kaenda UK kuchukua Masters na sasa ni Naibu Waziri...2. Vyuo vingi vya nje havitambui diploma, ni ngumu kwenda bila ACSEE.
Umesema mambo mengi,tutajie mambo matatu tu katika hayo mambo mengi.Inanifanya niweze kusoma mambo mengine nje na fani niliyoanza kuisoma. Pia inanifanya niweze kusoma mambo mapya kwenye fani. Kwakuwa mengi yanayosomwa diploma ni outdated
Ulizingua uliposema watu wa diploma ni wa d4 ndiyo maana nikakupingaSasa mimi ninavyokwambia mambo mengi yanayosomwa huko diploma na degree. Mengi ni outdated haijalisha ni best student au last student wote wapo hapo hapo. Wakati huohuo advance shehemu kubwa ni sayansi yenyewe haibadiliki ndio msingi. Ukiwa nayo itakusaidi kufanya judgement huko mbeleni.
Kuna mwamba katoka hapa na Diploma kaenda UK kuchukua Masters na sasa ni Naibu Waziri...
Nimesema Diploma sio Advanced Diploma.. na kuna yule kiongozi katoka hapa na Certificate kaenda UK kapewa Masters hio pia utakataa?Advanced diploma is equivalent degree
Hata Mwl Nyerere hana degree Ila Ana masters