Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,015
- 1,436
- Thread starter
- #41
Nimekuambia nipo nasoma vitabu tajwa hapo juu. Viwili nilisoma vikanisaidia viwili ndio nipo nimeanza, kuvisoma na Kingingine nimeshakitafutia vifaa.Umesema mambo mengi,tutajie mambo matatu tu katika hayo mambo mengi.
Pia,kwanini umeenda (umerudi) kusoma diploma wakati umesoma A-level?
Hafu kuhusu kurudi diploma ni story ndefu staki hata kukumbuka.