DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,726
- 81,755
Maneno ya waswahili hasa ukiwa wanakuona hawakuwezi utaitwa kijebaKije
Kijeba, kijeba Neno la zamani,nawe ni kijeba Nini?!
Mimi jamaa yangu mmoja alikuwa na mke Kigoma, alikuwa anafanya kazi kwa Mzungu,wakakubaliana,asome kwanza,ajuejue kiinglishi ili aende nae majuu!Akamaliza form4akiwa na miakz28!ndevu kibao.Mimi pia nimemaliza 4M4 na 20 yrs na tulikuwa na classmate yupo na 28 yrs
Mimi jamaa yangu mmoja alikuwa na mke Kigoma, alikuwa anafanya kazi kwa Mzungu,wakakubaliana,asome kwanza,ajuejue kiinglishi ili aende nae majuu!Akamaliza form4akiwa na miakz28!ndevu kibao.
Labda mwl wake wa form 3 alikuwa mdogo kwake? zamani shule zilikuwa hazingatii umri, mimi nimesoma na mabraza yaani nina miaka 16 form one, wenyewe wana miaka 20
Sahihi Mkuu!zamani ilikuwa kawaida na watu walikuwa enthusiasm katika Ku chase dreams Ila kwa sasa MTU anaingia 28 akiwa amechoka Mwili ,roho nafsi na akili hauwezi kumwambia jambo Kama hilo akakubali easily.
Ni viceversaAaah, je ni kweli Kama wanavyosema wadau ukipunguza kupiga mkwaju unakua vizuri ?
Mmh πMarahaba kwa niabaπ π
Kwa hiyo nawe wataka kujiuzulu Kiongoziπ€£Huo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Nilikuwa naumwa nn?!!!πππUshapona?? π
Fungus na ukakataa tone tone ya jfNilikuwa naumwa nn?!!!πππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Fungus na ukakataa tone tone ya jf
Sio kweli 100%70 nilikuwa sijui darasa la ngapi vile π€
Halafu we Evelyn hata sio nyumbu, basi tu wanakukazimisha hao kina heche.Fungus na ukakataa tone tone ya jf
Nmekutumia tone tone umepata? πHalafu we Evelyn hata sio nyumbu, basi tu wanakukazimisha hao kina heche.
πππ kweli aiseeKumbeee,!!
Humu kuna wakati huwa pengine tunawakosea Adabu 'Madingi na Mamazeri' wetu kabisa.
Tunawachukulia poa na kudhani ni ma-eji-meti zetu.
Fikiria watu wana mvua 50+, Na-hawasemi? Shikamooni ma-EJI-GO π
Muwe mnatuamkia ohoooKumbeee,!!
Humu kuna wakati huwa pengine tunawakosea Adabu 'Madingi na Mamazeri' wetu kabisa.
Tunawachukulia poa na kudhani ni ma-eji-meti zetu.
Fikiria watu wana mvua 50+, Na-hawasemi? Shikamooni ma-EJI-GO π