Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,874
- 145,797
Red Giant halafu kama mungu kweli yuko hivyo ana transcend logic, wewe binadamu ambaye huna uwezo wa kimungu kumuelewa alivyotranscend logic utajuaje hizo habari za mungu ku transcend logic ni kweli au ni stories tu za mapokeo zinazojaribu kuelezea kile ambacho binadamu hawezi kuelezea?
Ukishakubali habari za mungu anaye transcend logic uneshakubali unamuamini na kumkubali mungu usiyemuelewa, ukikubali hivyo umeshakubali kwamba unaweza kuwa unaamini kitu ambacho hakipo.
Cc housegirl
Ukishakubali habari za mungu anaye transcend logic uneshakubali unamuamini na kumkubali mungu usiyemuelewa, ukikubali hivyo umeshakubali kwamba unaweza kuwa unaamini kitu ambacho hakipo.
Cc housegirl
Last edited by a moderator: