Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

Bible ina walakini mkubwa...sehemu kubwa ya biblia ina stori za kujaribu kuimarisha imani tu za waamini..ila maneno ya mungu mwenyewe kwenye bible ni machache mno...sanasana zile amri 10, ile sauti wakati yesu anabatizwa..labda na mazungumzo ya mungu na adam na kidogo sana na musa.

Unaweza kuthibitisha kwamba biblia ina maneno ya mungu machache na kwamba huyu mungu yupo na si stories tu?
 
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza

siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?

Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke

Siku ya 7 akapumzika!!

Hivi naombA niulize kitabu cha mwanzo aliandika nani?
Means alikuwa Amekaa na mungu af alikuwa anamuona mungu kwa hiyo mungu huyo yupo physical?
 
by stating so...... are you in the former(a) or the latter(b)...?

I took pains to explain
But still you remain
Unenlightened
With knots tightened
I fear, the idea of making it clear
Is sheer enablement of a dear lower gear
I categorically rejected this godhead, in the abstract
Not with metaphorically injected cataracts
What would you want me to do, dumb a Hegel?
A or b is for kindergarten, I'm a rebel.
 
Mbona unaogopa kufikiria weye? Umekuja na madai, yasaidie kwa ushaidi. I mean huwezi sema Dunia ina Umri bila ya either umesikia sehemu sehemu au unafuata mkumbo wa wale wanao tumia akili za marehemu negative god. Which one are you?

Du
Naona una vita kali na atheists
Punguza munkari brother jaribu kuwaelewesha
 
Hahahaaaaaaaaa ....

Huyu mtu bado kidogo ataokota makopo badala ya kubeba box huko aliko
Na ikifikia huo muda atapata tabu sana maana huko makopo atayapata kwa taabu sana

CC: Ishmael , Mkuu wa chuo , Lisa Valentine , Kichwa Ndio Mtu , speedcom kaka km Stefano Mtangoo String Theorist @HINI , Monstgala ....!!
Huyo anaongoza kwa flip flops, maana sasa anajijibu mwenyewe.
quote_icon.png
By Kiranga

. Kwa sababu mungu hawezi kushindwa mtihani wa logic wa watu.

Sasa Mungu kumbe yupo........ Free ideas
 
Last edited by a moderator:
I took pains to explain
But still you remain
Unenlightened
With knots tightened
I fear, the idea of making it clear
Is sheer enablement of a dear lower gear
I categorically rejected this godhead, in the abstract
Not with metaphorically injected cataracts
What would you want me to do, dumb a Hegel?
A or b is for kindergarten, I'm a rebel.
Brainless reply
 
Hivi naombA niulize kitabu cha mwanzo aliandika nani?
Means alikuwa Amekaa na mungu af alikuwa anamuona mungu kwa hiyo mungu huyo yupo physical?

niliwahi uliza humu juu ya mwandishi wa kitabu cha mwanzo..hakuna aliweza kutoa majibu zaidi kuruka sarakasi tu!!
 
Naamini mmepotea hoja iliyotolewa hapa kwa upuuz wenu na mabishano yasio na matinki.

Turudi kwenye hoja DUNIA INA UMRI GANI.
 
I took pains to explain
But still you remain
Unenlightened
With knots tightened
I fear, the idea of making it clear
Is sheer enablement of a dear lower gear
I categorically rejected this godhead, in the abstract
Not with metaphorically injected cataracts
What would you want me to do, dumb a Hegel?
A or b is for kindergarten, I'm a rebel.

you debate with a conclusion in mind....
 
Kwa.nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
kwanza mungu aliumba viumbe wenye uwezo wa maamuzi. hakuwaumba kama robot. pia akawapa miongozo na matokeo yake wasipofuata. story nzima inaanzia hapa, shetani akataka kuwa na mamlaka sawa na mungu. mungu hakutaka kumuua maana ingelleta mashaka pengine shetani alikuwa ana madai ya haki.

basi akampa test ya kuonyesha naye anachojua. kwa hiyo anaetawala ulimwengu ni shetani na mateso yanayo tupata inaonyesha wazi kashindwa na akiuwawa hakuta kuwa na mashaka. biblia inasema kwamba''tunajua tunatokana na mungu lakini dunia nzima iko chini ya yule muovu'' yohana wa kwanza 5;19. kwa hiyo kuna uovu ni kwasababu shetani anatutawala. mungu ameruhusu uovu uwepo lakini hasababishi.
kuna kitabu cha mashahidi wa yehova kinaitwa biblia inafundisha nini hasa?, sura ya 11 inazungumzia kwa nini binadamu wanateseka. unaweza kuvipata jw.org.
 
Back
Top Bottom