Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,018
How did time, space and matter "came" to existence?Swali limeuliza kwa nini unafikiri imeumbwa na fulani?
Comprehension please.
Haya kimbia tena hili swali
How did time, space and matter "came" to existence?Swali limeuliza kwa nini unafikiri imeumbwa na fulani?
Comprehension please.
Naamini mmepotea hoja iliyotolewa hapa kwa upuuz wenu na mabishano yasio na matinki.
Turudi kwenye hoja DUNIA INA UMRI GANI.
unamfikiria mungu kama mtu. hebu mfikirie kama energy.Sijui mungu wakati a nafanya hivo alikuwa kakaa wapi!
kwani hayupo ?
Kwa sababu hujathibitisha kwamba mungu yupo.
kwanza mungu aliumba viumbe wenye uwezo wa maamuzi. hakuwaumba kama robot. pia akawapa miongozo na matokeo yake wasipofuata. story nzima inaanzia hapa, shetani akataka kuwa na mamlaka sawa na mungu. mungu hakutaka kumuua maana ingelleta mashaka pengine shetani alikuwa ana madai ya haki.
basi akampa test ya kuonyesha naye anachojua. kwa hiyo anaetawala ulimwengu ni shetani na mateso yanayo tupata inaonyesha wazi kashindwa na akiuwawa hakuta kuwa na mashaka. biblia inasema kwamba''tunajua tunatokana na mungu lakini dunia nzima iko chini ya yule muovu'' yohana wa kwanza 5;19. kwa hiyo kuna uovu ni kwasababu shetani anatutawala. mungu ameruhusu uovu uwepo lakini hasababishi.
kuna kitabu cha mashahidi wa yehova kinaitwa biblia inafundisha nini hasa?, sura ya 11 inazungumzia kwa nini binadamu wanateseka. unaweza kuvipata jw.org.
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/711116-the-$100-000-atheist-challenge.htmlHujathibitisha kwamba yupo.
you debate with a conclusion in mind....
https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/711116-the-$100-000-atheist-challenge.htmlOne that you have failed to disprove.
This godhead cannot exist, because the very idea is inherently self contradictory.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aruhusu mabaya yawezekane kwenye ulimwengu wake?
Hivi naombA niulize kitabu cha mwanzo aliandika nani?
Means alikuwa Amekaa na mungu af alikuwa anamuona mungu kwa hiyo mungu huyo yupo physical?
Kama sehemu kubwa ya dunia inaamini mungu yupo, na ndiye aliyeiumba dunia, huwezi ku address suala la umri wa dunia bila ya ku address jinsi dunia ilivyoanza.
Na huwezi ku address dunia ilivyoanza bila ya kuzungumzia suala la mungu.
Kuna watu wanafuatisha biblia/ quran kama neno la mungu, na watataka kutupa majibu kwa mujibu wa biblia/ quran.
Mtu akifanikiwa kuonyesha kwamba hizi habari za mungu wa biblia/ quaran ni uzushi tu, tunaondoa theory moja na kuendelea kuangalia zingine.
Majadiliano ya mungu kwenye uzi wa umri wa dunia yanahusika vizuri sana.
Labda unaweza kuona hayahusiki kama unaangalia mambo kijuujuu tu.
unamfikiria mungu kama mtu. hebu mfikirie kama energy.
Kama wewe unaamini Mungu hayupo na omani yako haikuruhusu kuamini hvyo una haja gani ya kuleta mabishano yasipna na umuhimu tena ya kupotosha umma.
Kuna vungi sana vya Mungu ambavyo binadamu hata ufanye vipi kuvijua hata ungeamua kutumia maisha yako yote kwenye utafiti utaambulia zerro.
Unaliza maswali ambayo hata ww mwenyewe unaamini hayana majibu na hata ww pia ajibu huna, unachokifanya hapa ni kurefusha maada. No point
Hayana majibu au majibu yake huyajui?
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Hata ww mwenyewe huyajui wala huna
kwa hiyo kuna mungu wengi tu, kila imani na mungu wake?