Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

Thibitisha kwamba chumbani mwako hakuna taa isiyoonekana inayoelea hewani na kuelekea kwa Wagagagigikoko kila saa sita usiku.

Nimesema kisayansi labda kama mnaongelea mambo ya kijiweni sawa!
Lakni Kisayansi kama Kitu Kipo unaweza kuthibitisha na kama Hakipo pia unaweza kuthibitisha hilo na hakuna kati kati, hivyo wote wawili hamna tofauti kwani kati yenu hakuna anayeweza kuthibitisha moja kati ya hilo, kwamba anayeamini Mungu yupo hawezi kuthibitisha na asiyeamni kwamba yupo Pia hawezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo hivyo ni Ubishani usiokuwa maana Kisayansi lkn kama Mambo ya Vijiweni sawa!
 
Teh teh tehe!!
Ulishampa challenge akupige radi ameshindwa eti, hahaaahahaaa!!

Umenikumbusha kuna kitabu cha Padre Gregory Mwageni, yeye anasema amethibitisha kuwa hakuna uchawi, alishawapa challengi wachawi wote wa Tanzania na Zambia(sehemu alizowahi ishi) wamjie usiku kwake hawajawahi, hadi leo anadunda tu.

Kuamini uchawi na kuamini mungu, kimsingi, ni kitu kimoja.

Kote ni kuamini supernatural powers.

Mkristo asiyeamini wachawi anajikanganya mwenyewe.

Sio tu kwa sababu kuamini mungu.na.kuamini.uchawi kote ni kuamini supernatural powers, bali pia kwa sababu wachawi wamesemwa kuwapo hata kwenye biblia.

Sasa Padre akisema haamini uchawi ina.maana anasema haamini biblia?
 
Nimesema kisayansi labda kama mnaongelea mambo ya kijiweni sawa!
Lakni Kisayansi kama Kitu Kipo unaweza kuthibitisha na kama Hakipo pia unaweza kuthibitisha hilo na hakuna kati kati, hivyo wote wawili hamna tofauti kwani kati yenu hakuna anayeweza kuthibitisha moja kati ya hilo, kwamba anayeamini Mungu yupo hawezi kuthibitisha na asiyeamni kwamba yupo Pia hawezi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo hivyo ni Ubishani usiokuwa maana Kisayansi lkn kama Mambo ya Vijiweni sawa!

Thibitisha kisayansi, kwani nimekukataza kuthibitisha kisayansi?

Kama kitu hakipo, utaanzia wapi kuthibitisha kwamba hakipo?

Unafahamu kwamba sayansi imejengwa katika logic?

Na katika logic, proving something that does not exist is a circular fallacy?

You cannot prove something that does not exist does not exist because it is not there to be proved that it does not exist.

You can only make secondary inference, which is not proof.
 
Biblia iko clear ktk hili. Tangu kuumbwa dunia hadi gharika-Nuhu ni miaka 2000, gharika Hadi Yesu kuzaliwa ni miaka 2000, Tangu Yesu Hadi sasa ni miaka 2014. Hivyo ni dhahiri dunia ina miaka 6014, wanasayansi hawana ushahidi wa madai yao zaidi ya carbon 14 ambayo ni uongo mtupu. Isitoshe sayansi ya dunia kwa % kubwa imejaa dhana potofu dhidi ya Mungu maana ibilisi ndiye kashika hatamu ya mifumo yote ya elimu.

HALAFU WAMESAHAU JINSI SIKU ZINAVYO HESABIWA KIBIBLIA MAANA KWA MUNGU SIKU MOJA NI MIAKA ELFU MOJA YA MWANADAMU... sasa sijui mtoa maana na wadau wengine wanaanisha idadi ya miaka kwa binadamu au Muumba?
 
Kabla ya kurukia mungu hivi na kwa mungu vile...

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Do you speak for God? Medicine does not heal but treat. Get that fact correct. It is God who heals.

If medicine heals, why do people die after taking them?
People do die after taking medicine do various reasons, some of them are criticality of the disease, ability of the medicine to heal etc.
Medicines treat and heals, If they dont heal, and it is God who heals, why take them?!, Why cant we just seat down and ask God to heal us?
That was my question Sir.
 
Thibitisha kisayansi, kwani nimekukataza kuthibitisha kisayansi?

Kama kitu hakipo, utaanzia wapi kuthibitisha kwamba hakipo?

Unafahamu kwamba sayansi imejengwa katika logic?

Na katika logic, proving something that does not exist is a circular fallacy?

You cannot prove something that does not exist does not exist because it is not there to be proved that it does not exist.

You can only make secondary inference, which is not proof.

Umejuaje kama hakipo sasa kama huwezi kuthibitisha kama hakipo?
Sayansi ni kitu rahisi sana na pia ni kigumu na ktk Sayansi ni swala la kuthibitisha tu uwepo wa kitu na ndio maana wanasayansi wanafanya Majaribio (experiments) ili kuweza kuthibitisha uwepo wa kitu, na wakishindwa kuthibitisha haimaanishi kwamba hakipo inawezekana tu vifaa wanavyotumia havina uwezo wa kuthibitisha hilo inawezekana kwa mfano kama huwezi kuona virusi fulani labda resolution ya Microscope yako haitoshi kumuuona huyu Virusi lkn haimaanishi kwamba hayupo kwa maana madhara yake kwa mgonjwa yanaonekana!

Hivyo mambo ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu hakuna jaribio lolote la Kisayansi lililofanywa kuthibitisha hayo kwa 100%, kambi inayosema Mungu hayupo haiwezi kuthibitisha kwa 100 kama yupo zaidi ya kutoa majibu rahisi kwamba angalia Ulimwengu ulivyo wa Ajabu sasa hiyo kisayansi haitoshi ni ndogo sana na kambi nyingine ambayo inasema kwamba Mungu hayupo pia hawawezi kuthibitisha hilo (Kisayansi =Majaribio) kwani hawawezi kusema kwa 100% Kwanini Dunia iko jinsi ilivyo, hawezi kusema kwa 100% kwa nini tuko hapa, hawawezi kuelezea kwa 100% kuhusu universe na mwanzo wake mpaka sasa, hivyo ndio maana nasema ni ubishani ambao hauna maana yoyote!

People do die after taking medicine do various reasons, some of them are criticality of the disease, ability of the medicine to heal etc.
Medicines treat and heals, If they dont heal, and it is God who heals, why take them?!, Why cant we just seat down and ask God to heal us?
That was my question Sir.

Why did an omnipotent and all benevolent create a universe in.which disease is possible at all?

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio na magonjwa?

Au aliweza hakutaka tu?

Kama alishindwa, je, ni kweli anaweza yote?

Kama aliweza ila katubania tu, je ni kweli ana upendo wote?
 
Umejuaje kama hakipo sasa kama huwezi kuthibitisha kama hakipo?
Sayansi ni kitu rahisi sana na pia ni kigumu na ktk Sayansi ni swala la kuthibitisha tu uwepo wa kitu na ndio maana wanasayansi wanafanya Majaribio (experiments) ili kuweza kuthibitisha uwepo wa kitu, na wakishindwa kuthibitisha haimaanishi kwamba hakipo inawezekana tu vifaa wanavyotumia havina uwezo wa kuthibitisha hilo inawezekana kwa mfano kama huwezi kuona virusi fulani labda resolution ya Microscope yako haitoshi kumuuona huyu Virusi lkn haimaanishi kwamba hayupo kwa maana madhara yake kwa mgonjwa yanaonekana!

Hivyo mambo ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu hakuna jaribio lolote la Kisayansi lililofanywa kuthibitisha hayo kwa 100%, kambi inayosema Mungu hayupo haiwezi kuthibitisha kwa 100 kama yupo zaidi ya kutoa majibu rahisi kwamba angalia Ulimwengu ulivyo wa Ajabu sasa hiyo kisayansi haitoshi ni ndogo sana na kambi nyingine ambayo inasema kwamba Mungu hayupo pia hawawezi kuthibitisha hilo (Kisayansi =Majaribio) kwani hawawezi kusema kwa 100% Kwanini Dunia iko jinsi ilivyo, hawezi kusema kwa 100% kwa nini tuko hapa, hawawezi kuelezea kwa 100% kuhusu universe na mwanzo wake mpaka sasa, hivyo ndio maana nasema ni ubishani ambao hauna maana yoyote!

Hujaweza kuthibitisha kisichopo hakipo.

Wala kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Hakuna jaribio lolote la kisayansi lililofanywa kuthibitisha chochote kwa 100%.

Unavyoandika kuhusu jaribio la kisayansi na 100% unajionyesha hujui sayansi ni nini wala100% ni nini.
 
Hujaweza kuthibitisha kisichopo hakipo.

Wala kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Na ndiyo maana nimesema hakuna mwenye huo uwezo kwa sasa kuthibitisha yote hayo mawili (kisayansi) vinginevyo Dunia ingeshabadilika, kwani Makanisa, Misikiti, Matemple yangekuwa tupu kungekuwa na Uthibitisho wa 100% kwamba Mungu hayupo lkn Makanisa na Misikiti bado inajaa kwa maana hakuna mwenye jibu na watu wanatafuta majibu, kama sayansi ingetoa jibu kwa 100% kwamba Mungu hayupo hiyo ingekuwa ni game changer lkn mpaka sasa haijaweza bado, na kila hatua inayopiga kwenda mbele ndivyo maswali yanavyozidi kuwa mengi, na hiyo ni pande zote mbili zenye kuamini Mungu yupo na zisizoamini kwamba yupo (Mungu!)
 
Huwezi kuthibitisha kwamba kile ambacho hakipo hakipo, kwa sababu hakipo kuthibitishwa kwamba hakipo.

Vinavyothibitishwa ni vile vilivyopo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Huwezi kuthibitisha kwamba kile ambacho hakipo hakipo, kwa sababu hakipo kuthibitishwa kwamba hakipo.

Vinavyothibitishwa ni vile vilivyopo.

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Wewe sasa unacheza na Maneno, Nimekwambia hakuna jaribio (experiment) lolote la Kisayansi lililofanywa ambalo linaweza kuthibitisha Uwepo au kutokuwepo kwa Mungu sasa sijui nirudie mara ngapi kujibu hilo swali!

N
imekwambia tena kisayansi na sayansi maana yake ni kuwa na theory na hiyo theory lazima uithibitishe kwa kufanya Majaribio (experiments) na hivyo vitu viwili ni lazima viendane, sasa kama theory yako inasema kitu fulani kipo basi lazima majaribio yathibitishe hilo na kama inasema kitu fulani hakipo pia ni lazima Majaribio yathibithishe hilo Kisayansi lakini kama mnaongelea mambo ya Mitaani hiyo sasa sijui!
 
Kimsingi, haya mambo yanachanganya.
Kuna kipindi huwa nahisi kuna hawa viongozi wa dini wanajua hivi vitu hakuna ila wanawazuga tu wafuasi wao, kwa sababu wanazozijua wao, Niliwahi kumsikia Dr.W.Slaa akisema kuwa kipindi bado yuko padre alishawahi kutumwa na kanisa, atembee katika vijiji vya karatu kufundisha watu kwamba hakuna uchawi, na katika kitabu hicho cha padre Gregory, kinachoitwa HAKUNA BINADAMU MCHAWI ILA SHETANI, mwishoni ni kama anasema kuwa huo ndio msimamo wa kanisa, Kanisa takatifu la mitume la Roma. (The Holy, Apostolic, Catholic Roman Church).

Amefafanua kuwa kwenye Biblia uchawi umetajwa, ila katika mazingira ya imani tu, kuwa watu waliamini hivyo, na kuna mfano wa wachawi wa Farao kufanya uchawi wa kugeuza fimbo kuwa nyoka, yeye anadai ile ilikuwa aidha kiini macho, au vitu vingine lakini sio uchawi.

Mtazamo huu wa wakatoliki, japo unanishangaza, lakini naupenda.
Kuamini uchawi na kuamini mungu, kimsingi, ni kitu kimoja.
Kote ni kuamini supernatural powers.

Mkristo asiyeamini wachawi anajikanganya mwenyewe.

Sio tu kwa sababu kuamini mungu.na.kuamini.uchawi kote ni kuamini supernatural powers, bali pia kwa sababu wachawi wamesemwa kuwapo hata kwenye biblia.

Sasa Padre akisema haamini uchawi ina.maana anasema haamini biblia?
 
Wewe sasa unacheza na Maneno, Nimekwambia hakuna jaribio (experiment) lolote la Kisayansi lililofanywa ambalo linaweza kuthibitisha Uwepo au kutokuwepo kwa Mungu sasa sijui nirudie mara ngapi kujibu hilo swali!

N
imekwambia tena kisayansi na sayansi maana yake ni kuwa na theory na hiyo theory lazima uithibitishe kwa kufanya Majaribio (experiments) na hivyo vitu viwili ni lazima viendane, sasa kama theory yako inasema kitu fulani kipo basi lazima majaribio yathibitishe hilo na kama inasema kitu fulani hakipo pia ni lazima Majaribio yathibithishe hilo Kisayansi lakini kama mnaongelea mambo ya Mitaani hiyo sasa sijui!

Hakuna jaribio lolote la kisayansi linaloweza kuthibitish chochote ambacho hakipo hakipo.

Kama unalo, litaje hapa.

Kwa hiyo, hatuthibitishi chochote ambacho hakipo kwamba hakipo.

Tunathibitisha kile ambacho kipo kipo.

Kwa hiyo unapoongelea habari za mungu, tuondoe.suala.la kuthibitisha kwamba hayupo.

Kwa sababu hakuna chochote ambacho hakipo kinachoweza kuthibitishwa kwamba hakipo, siyo mungu tu.

Tuangalie vinavyoweza kuthibitishwa, vile vilivyopo.

Kama mungu yupo kweli, kwa nini hawezi kuthibitishika?
 
Kimsingi, haya mambo yanachanganya.
Kuna kipindi huwa nahisi kuna hawa viongozi wa dini wanajua hivi vitu hakuna ila wanawazuga tu wafuasi wao, kwa sababu wanazozijua wao, Niliwahi kumsikia Dr.W.Slaa akisema kuwa kipindi bado yuko padre alishawahi kutumwa na kanisa, atembee katika vijiji vya karatu kufundisha watu kwamba hakuna uchawi, na katika kitabu hicho cha padre Gregory, kinachoitwa HAKUNA BINADAMU MCHAWI ILA SHETANI, mwishoni ni kama anasema kuwa huo ndio msimamo wa kanisa, Kanisa takatifu la mitume la Roma. (The Holy, Apostolic, Catholic Roman Church).

Amefafanua kuwa kwenye Biblia uchawi umetajwa, ila katika mazingira ya imani tu, kuwa watu waliamini hivyo, na kuna mfano wa wachawi wa Farao kufanya uchawi wa kugeuza fimbo kuwa nyoka, yeye anadai ile ilikuwa aidha kiini macho, au vitu vingine lakini sio uchawi.

Mtazamo huu wa wakatoliki, jambo unanishangaza, lakini naupenda.

Kwa watu wanaosoma.theolojia ya juu kama makasisi, makardinali.na mapapa huwa wanajua kwamba hakuna mungu.

Ila wanaona dini ndio.mhimili pekee wa kuwanyoosha wanadamu.

Kwa hiyo wanaendeleza uongo kwa rationalization ya kwamba ni uongo mzuri unaowafaa watu.
 
Last edited by a moderator:
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).

Kitu kikubwa cha kujua hapa ni kuwa ushahidi tulio nao unafanana. Tatizo ni unatafsiri vipi ushahidi huo. Kila mtu ana mtazamo (framework) ambao anautumia kutafsiri. Mfano ukisema hakuna Mungu, kila kitu kinakuwa na tafsiri ambayo itakuwa na majibu yote isipokuwa "Mungu aliumba" maana falsafa yako ni hakuna Mungu. Kwa hiyo hata kama kitu Mungu aliumba huwezi kusema aliumba, utasenaje hivyo ilhali mtazamo wako ni kuwa hakuna Mungu?

Vivyo hivyo kwa mtu ambaye anaamini kuna Mungu Muumbaji,l kila atakapokutana na utendaji unaohitaji akili atasema kuwa kuna Mtu mwenye akili aliyefanya hili. Huu hapa mfano m adogo tu:

Watu wawili walikuwa wako ziwani, mara ikatokea Mv. Victoria. Ghafla wale watu wakaanza kubishana. Mmoja wao alidhania kuwa hakuna viwanda vya meli. na Mtazamo wa mwingine ni kuwa viwanda vipo. Yule wa kwanza akadai kuwa dude lile wanaloliona (meli) lilitokea lenyewe tu bahati mbaya baada ya Jumbo Jet kupata ajali somehow majivu ya jumbo Jet yali react na maji kupata meli. Mwingine alikataa, akamwambia kuna kiwanda na hata hivi karibunia alisoma manuals za meli zikielezea namna meli zinaundwa. Akajaribu kumshawishi kuwa anamjua hata mbunifu wa hizo meli na mtengenezaji. Yule mwingine aliendelea kubisha akisema HAIWEZEKANI meli iwe imetengeneza kwa kuwa HAKUNA KIWANDA.

Hapo utaona kuwa tatizo si ushahidi (meli) bali ni mgongano wa mitazamo. Na mitazamo huwa haipimwi kisayansi ila kifalsafa. Kwa hiyo unapaswa kupima mitazamo hii. Ni Aidha Mungu aliumba, au vitu vilijiumba vyenyewe.

Unaposema "Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi" unakosea. Wanasayansi wengi akiwemo Isaac Newton, Johan Keppler na hata leo wanasayansi wenye PhD kama Jason Lisle, Jonathan Sharfati, Henry Morris et al hawaamini hilo na bado ni wanasayansi wakubwa tu. Kwa hiyo badilisha na useme "Upande wa pili ukiwafatilia wasioamini uumbaji" hapo utakuwa sahihi. (Kiungwana utakuwa umetenda haki kufanya hivyo).

Sasa tujibu swali la msingi. Kwa kuwa tatizo ni mgongano wa falsafa na misingi ya kufanyia maamuzi, inabidi kujiuliza swali hili la msingi kabisa, "Tunajuaje tunachokijua?"

Kwa wale wasioamini juu ya Mungu wa biblia watabaki wanaelea. Hii ni kwa sababu mwanadamu hana uwezo wa kuthibitisha chochote. Akisema ajaribu tu kuanza kuthibitisha inabidi KWANZA AAMINI kuwa Ubongo wake unaaminika. Swali ni kuwa tunapimaje kama Ubongo wako unaaminika kabla hatuajutumia kuthibitisha chochote? Au akitaka kwend laboratory kufanya experiment itabidi AAMINI kuwa akifanya majaribio thamani ya gravity kwa mfano itakuwa ni ileile. Swali ni kuwa, KWA NINI aamini kuwa gravity itabakia kuwa ileile? kwa nini ASIAMINI kuwa somehow inaweza kubadilika randomly? Kwa hiyo bila Mungu wa BIBLIA, huwezi kuthibitisha chochote kile (let alone kuuliza swali).

Maswali haya ni rahisi sana kwa mtu mwenye kuamini Biblia. Mfano hatuanzi kupima chochote kwa fahamu zetu. Tunaanza na Neno la Mungu, anayejua yote na mkamilifu. Kwa hiyo basi tunajua hayo yote yatakuwa hiyo kwa kuwa Mungu aliyetuumba kwa mfano wake ametupa uwezo wa kufikiri (reasoning) na kwa hiyo tunaweza tumia uwezo huo kuthibitisha mambo mbalimbali. Gravity itabaki constant kwa kuwa Mungu ameamuru iwe hivyo na Yeye mwenyewe anaishikilia kwa nguvu ya Neno lake.

Kwa hiyo wasioamini juu ya Mungu wa Biblia ambaye ndiye Muumbaji, hawawezi kushndana hata kwa hoja kwa kuwa inabidi waanze na swali la msingi "unajuaje unachokijua" kabla hata hawajajaribu kupanga hoja. Na kwa kuwa hawawezi kujibu swali hili, mengine yote hayawezekani kwao

Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya?
Biblia sio kitabu cha kiada cha sayansi. Lakini kila kinapoongelea mambo ya kisayansi kipo sahihi kabisa. Unaposema wanasayansi vs Biblia unakosea na sababu nimeisema hapo juu. Hope utabadili na hili pia.

Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?
Hakuna utafiti wenye ushahidi unaonesha hivyo. Huo ni uzushi wa "wanasayansi" uaowaongelea ambao kiukweli ni wakana Mungu.

Dino mmoja aligundulika akiwa na "soft tissues" ambazo haziwezi ku survive miaka hata laki kadhaa. Sasa hii ya kuwa waliishi milioni nyingi hizi ushahidi wake uko wapi? Kuna mtu alikuwepo? Maana kwa tissue hizi kukutwa kwa Dino ni ushahidi tosha hawakuishi zama unazodai.

Hope umejua mbivu na mbichi Tindikali
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jaribio lolote la kisayansi linaloweza kuthibitish chochote ambacho hakipo hakipo.
Well kila siku tunafanya hivyo. Hii ni mifano michache:
  1. Tunathibitisha kuwa hakuna mke wa mseja
  2. Tunathibitisha kuwa hakuna kompyuta inayokula chakula
  3. Tunathibitisha kuwa hakuna kiziwi anayesikia

Hivi vitu vyote havipo na kuvithibitisha inawezekana. Sasa zamu yako kuthibitisha hakuna Mungu
 
Unachanganya axiom na uthibitisho.

Axiom si uthibitisho. Euclid aliposema two parallel lines could never meet and a triangle is only 180 degrees, alikuwa hathibitishi hayo. Alikuwa anatoa axioms tu. Baadaye tumeona jinsi parallel lines zinavyoweza kukutana na pembetatu inavyoweza kuwa na zaidi ya nyuzi 180 au pungufu.

Unachotuletea wewe hapa.ninaxioms, sio proofs. Know tye difference.

Mke ni nani? Kuna mtu amekaa na mwanamke miaka anasema mkewe, kuulizwa cheti cha ndoa hana.

Mwingine.kaoa.ana cheti, lakini ndoa haitambuliki kimila.

Nani mseja na nani kaoa?

Pia kuna compyuta inayoendeshwa kwa nishani ya mahindi, hivyo inakula chakula.

Na kuna kiziwi anayesikia kwa kutumia hearing aid.

Epic fail.
 
Back
Top Bottom