Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,876
- 145,805
Ndio maana yake, na huu ulimwengu hauishii kwenye hii dunia yetu na jua lake, ukitoka kwenye hii solar system yetu a trilion miles, kuna majua (suns) nyingine zina solar system zake, na kuna planet kuna viumbe hai, viumbe hivyo ktk hizo planet wengine wametuzidi maarifa, na planet nyingine tumewazidi maarifa, ndio kwanza wanaulizana jua limesimama au linazunguka,na hata rangi zao ni tofauti, wapo viumbe wa blue, yellow nk, na majua yanatofautiana kwa ukali na nguvu za mionzi, my point miungu ipo kibao
Is this science or science fiction?
Umeandika kwamba ukitoka kwenye hii solar system a trillion miles kuna majua mengine.
Hii si kweli.
Jua ni nyota. Nyota iliyo karibu zaidi na solar system ni star system ya Alpha Centauri, ambayo ipo 25.6 trillion miles away. Light traveling at about 300,000 kilometres per second (299,792 458 metres/second to be exact) takes 4.3 years to travel from this system to earth.
Kwa hiyo habari yako ya kwamba kuna majua mengine a trillion miles from our solar system si sahihi. Nyota ya karibu kabisa ipo 25.6 trillion miles away, that equals 300,000 the distance from the earth to the sun.