Umri wa dunia ni upi hasa?

Umri wa dunia ni upi hasa?

sasa bible si inaonesha viumbe vyote plus binadamu waliumbwa ndani ya siku sita..? sasa kwa nini kuwe na gap kubwa kati ya miaka waliyotokea dinasours (200 mill yrs ago) na aliyotokea man (10,000 yrs) ago..?
usisahau siku hiyo moja ya mbinguni si sawa na siku moja yetu ya leo ya masaa 24, katika biblia wanasema siku elfu moja za dunia ni sawa na siku 1 ya mbinguni sasa anza tena siku ya kwanza alitenganisha nuru na giza baada ya siku 1000 ambayo itakuwa siku ya pili akafanya nini na tatu na nne n.k

swali hapa la kujiuliza ni kuwa biblia iliposema siku ya kwanza ilimaanisha masaa yetu haya 24 ya leo yanayotengeneza siku moja au vinginevyo?
 
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!

Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).

Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?

Biblia imeandikwa na Mungu mwenyewe akiwatumia mitume,hao wanasayansi ni miungu tu,wanakufa,lakini Mungu yu hai.Maswali mengine tutamwuliza Mungu tukifika nyumbani.
 
Vitabu vya dini vyote ni vya kusadikika tu...viliandikwa na watu kwa lengo la kuleta utaratibu wa maisha uliostaarabika na kujenga hofu ndani yetu ili tabaka tawala liweze kufanya kazi yake bila ukinzani mkubwa. Hivyo wanasayansi ndio watu sahihi kwa kuwa wanafact na evidence kias na sio theory zilizomo ndani ya biblia au kitabu kingine cha dini.

nipe evidence na fact ya big bang theory! halafu uniambie kwa nini hao wanasayansi wenyewe after time wanakanusha hizohizo theories zao. especially big bang thoery.
nilishawahi kumwambia kiranga kuwa big bang theory is the most famous theory not the best/factual theory ya kueleza chanzo cha ulimwengu hadi hivi tunavyoongea hakuna thoery ya kisayansi inayoeleza "ukweli" namna gani ulimwengu umeanza.
wanasayansi nao walewale tu wanakisiakisia tu.
 
Mkuu ndio maana wafuasi wa dini huwa wanaambiwa waamini tu wasiulize logic kuhusu mambo mablimbali ya dini kwani wakiuliza logic hakuna binadamu atakayefuata dini.

wa dini gani?
kweli?
ukiona kiongozi wa dini anawaambia watu wake hivi ujue yeye ndio hana majibu lakini MUNGU alisema TAFUTENI KUIJUA KWELI NAYO UKWELI ITAWAWEKA HURU.

amini nakwambia usiamini kabla hujathibitisha juu ya unachokiamini. na hakuna utamu kama kuamini baada ya kuchokonoa kuchunguza na kuja na hitimisho juu ya jambo fulani.
 
nadhani swali ni je walikuwa wanatumia calender ipi?? kuna kalenda ya kiyunani, kichina, kiarabu, kizungu, n.k
haswa hapa ndio mimi naona pana shida siku za kibiblia ni sawa na calculation ya siku zetu za masaa 24 za leo?la sivyo hatuwezi kuelewa ikiwa ktk biblia wanaongelea ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja(tena note sio siku ya kwanza ni siku moja)
yani watu wanabishana pasipo kuanza na mambo ya msingi kabisa.
umemjibu vizuri sana
 
Kuna tofauti ya watu kufikiri kitu kiko right halafu wakagundua kuwa ni wrong na kitu kuwa right halafu kuwa wrong.

Watu walifikiri jua linaizunguka dunia kwa maelfu ya miaka, baadaye wakaja kugundua kwamba dunia ndiyo inazunguka jua.

Walipokuwa wanafikiri kwamba jua linazunguka dunia, kufikiri kwao hivyo hakukufanya jua lizunguke dunia.

Tofautisha perception na reality. Kwa maneno yako hapo, ni kama vile unasema.reality inategemea imani za watu.

Kama dunia inazunguka jua, hata kama watu wote wataamini jua linazunguka dunia, kuamini huko hakutabadili ukweli kwamba dunia inazunguka jua.

Unapokandia earthly moral unajionyesha umekosa "true religion".

Unaji contradict mwenyewe. Kwanza unasema right and wrong are not static matters, kwa sababu kuna mambo yalifikiriwa kuwa right back then na leo yako wrong.

Halafu unakandia earthly morals as bs unless they are in line with your religion, which by definition is static!

I said right and wrong changes when speaking of earthly morals. Nikizungumzia earthly morals nazungumzia all the earthly laws and culture (as whole). Mfano kuhusu mambo ya ushoga. I think generations tatu mbeleni hawatakuwa na hata na idea kwamba kwamba it was 'wrong' and illegal. Sasa my point was: the reason i do trust my religion is just faith. But kwa mtu kama wewe usiyeweza kunielewa kwenye suala la imani, i can say i trust it coz it is static. Whats wrong 200 years is still wrong even at the moment, and vice versa.

Ndio maana nilisema kwenye post zilizopita, kama uko- logical hadi kwenye imani/dini hutaweza kuexplain hata other supernatural stuff. Logic is restricted to general natural force. U cant find God if you are looking for him on physical world. I mean you can see his power, but you can never experience what we experience if you are not spiritual! We have seen His miracles coz we believe. You havent coz you dont. Its a belief thats why in My religion, we dont and cant force anybody to join. You are just invited. You can join or you can think this is just bullshit.

U cant find your answer for your million dollar question here. But you may find it in Him. (If you REALLY want to)

Bottomline: belief.
 
The notion that religion is anything other than an earthly set of morals is borne out of a poverty of the mind.

The notion that religion is static is a fiction borne out of ignorance. Religion is not static.That's why you have The Old and New Testament and their equivalents.
 
Man! Nadhani unatumia general concepts za watu kuwa those earthly morals na religious moral are the same. I may not be very smart, but nadhani kama unafikiria vizuri as i have studied you, unaweza ukaona that line btn those things.

Ukitaka maelezo yangu vizuri, rudia hizo post zangu. Km unafikiri its not worth it kurudia, maybe you are not that smart as thought! But either way, thats all the brief explanations i could provide.
 
Tofauti ya religious morals na earthly morals ni nini?

Kwa nini religion isiwe a set of earthly morals wakati imeandikwa na watu tu?
 
Tofauti ya religious morals na earthly morals ni nini?

Kwa nini religion isiwe a set of earthly morals wakati imeandikwa na watu tu?

Lakini angalia sasa hv watu wanafuata religion inavyotaka? Watu wanafuta sheria za kawaida coz zina punishment na penalty once found guilty. Ndio maana nilitoa mfano wa ushoga au sex before marriage. Law za kidini zinakataa but kidunia tupo free. So its different
 
Hujajibu maswali kabisa.

Law za kidini zimewekwa na nani?

Zinakataa nini?

Law za kidunia hazikatai nini?

Nini kinazifanya laws za kidini kuwa za kidini na za kidunia kuwa za kidunia?

Kama hizo laws za kidini ni za kidini hivyo na si za kidunia, kwa nini tunatakiwa tuzitekeleze duniani?
 
I said right and wrong changes when speaking of earthly morals. Nikizungumzia earthly morals nazungumzia all the earthly laws and culture (as whole). Mfano kuhusu mambo ya ushoga. I think generations tatu mbeleni hawatakuwa na hata na idea kwamba kwamba it was 'wrong' and illegal. Sasa my point was: the reason i do trust my religion is just faith. But kwa mtu kama wewe usiyeweza kunielewa kwenye suala la imani, i can say i trust it coz it is static. Whats wrong 200 years is still wrong even at the moment, and vice versa.

Ndio maana nilisema kwenye post zilizopita, kama uko- logical hadi kwenye imani/dini hutaweza kuexplain hata other supernatural stuff. Logic is restricted to general natural force. U cant find God if you are looking for him on physical world. I mean you can see his power, but you can never experience what we experience if you are not spiritual! We have seen His miracles coz we believe. You havent coz you dont. Its a belief thats why in My religion, we dont and cant force anybody to join. You are just invited. You can join or you can think this is just bullshit.

U cant find your answer for your million dollar question here. But you may find it in Him. (If you REALLY want to)

Bottomline: belief.

Kuishi kwa imani ni upofu.....
 
nipe evidence na fact ya big bang theory! halafu uniambie kwa nini hao wanasayansi wenyewe after time wanakanusha hizohizo theories zao. especially big bang thoery.
nilishawahi kumwambia kiranga kuwa big bang theory is the most famous theory not the best/factual theory ya kueleza chanzo cha ulimwengu hadi hivi tunavyoongea hakuna thoery ya kisayansi inayoeleza "ukweli" namna gani ulimwengu umeanza.
wanasayansi nao walewale tu wanakisiakisia tu.

Angalau wanasayansi wanajitahidi kidogo kuonesha uhalisia na theory zao. Pia kumbuka kukanusha kunakuja na maelezo mbadala huku wengi wao wakiendelea kuumiza bongo zao ili kupata jibu lililosahihi zaidi.
 
Hujajibu maswali kabisa.

Law za kidini zimewekwa na nani?

Zinakataa nini?

Law za kidunia hazikatai nini?

Nini kinazifanya laws za kidini kuwa za kidini na za kidunia kuwa za kidunia?

Kama hizo laws za kidini ni za kidini hivyo na si za kidunia, kwa nini tunatakiwa tuzitekeleze duniani?

Wewe ndo hutaki majibu haya. Either way, gud luck with your ideology.
 
Watu wanakuwa wakali. Ukisikia chaka ndio hili (Roho ya Mungu) ni picha gani unaipata ukisoma hii mistari... Mnataka kuniambia hizi siku za kwenye sura hii hazifanani (Monday - Sunday).

1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
12 Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
13 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.
14 Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka;
15 tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo.
16 Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi
18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
19 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.
20 Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
21 Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
22 Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
23 Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.
24 Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
25 Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
26 Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
31 Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
 
Ilikuwa ni hivyo na mpaka leo ingekuwa ulimwengu wa hivyo, ila Adamu na Hawa walitibua na hapo ndo ulimwengu wa binadamu kuchagua mwenyewe njia ya kwenda ulipoanzia.
Kumbe alichagua Adam na Hawa. sasa why dhambi hii iendelee kwetu sisi. Unataka kutuaminisha kwamba Mungu ana hasira?
 
Back
Top Bottom