Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Na ndo yule aliyekufa akafufuka
huyu dogo ana brain demage sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara aseme anahtaji jimama,mara aseme anapiga pesa kwny biashara ya dagaa mara aseme amekufa na kufufuka[emoji23][emoji23][emoji23]dadeq
 
huyu dogo ana brain demage sio bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara aseme anahtaji jimama,mara aseme anapiga pesa kwny biashara ya dagaa mara aseme amekufa na kufufuka[emoji23][emoji23][emoji23]dadeq
Baba Sina brain damage wala nini ni mzm wa afya sana sema mi Nina masihara mengi sana, ila baadhi ya sitori n za kweli mfano hyo ya kufa kisha nikafufuka ni kweli

Mi maisha niliyaanza kitambo sema sijafanikiwa kutoboa tu
 
Pambana umalize chuo, huenda elimu yako itakusaidia katika mchakato wa kujiajiri
Sawa mzee baba chuo nado wiki 8 tu nimalize semester ya 6. Kuhusu kujiajiri hilo Sina hofu nalo but nimepoteza miaka 17 nikiwa nasoma afu nikajiajiri hyo haiwezekan lazima niajiriwe kwanza
 
Ila wadogo zetu mie naona kama mnapaniki sana..yaan uko chuo unataka uwe na pesa? Kila mtu na njia yake kufanikiwa..hebu relax...!

Halafu kwa hizi Tamaa zao huku kibaya zaidi ni Mtoto wa Kiumeni hivi akipigwa Paipu atalalamika au atamlalamikia Mpiga Paipu wake huyo kweli?
 
Kila Mtu hapa JamiiForums akisema akusimulie ( akuambie ) yanayomsibu kuna uwezekano Wewe Mkuu ukajiona una afadhali au huna Shida. Kikubwa tu ni Kwanza Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Zawadi yake Muhimu na ya Thamani kabisa ya Pumzi hii ya Uhai na hayo mengine yanatafutwa na uzuri ni kwamba Kiimani huwa tunasema Mungu huwa hawai wala hachelewi na wakati wako ukifika tu atakupa Kibali na Maisha yako yatabadilika na hutoamini kama ni Wewe ndiyo ulikuwa ukikata Tamaa, Ukilia na Kujiona Masikini. Pole na najua hali unayoipitia sasa ila nakuomba usikate Tamaa ila ' One Day Yes ' tu Kwako Mkuu.

Mkuu kumbe kuna siku huwa zinatulia eeenhe [emoji3] #Ndukiiiii[emoji2090][emoji2090]
 
Back
Top Bottom