Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Sawa imepoteza miaka 17 ila una upeo mkubwa wa kuchambua mambo sio sawa na yule hajaenda shule. Kuna jamaa alimaliza chuo (business administration) akaweka ganda lake sandukuni akajikita kulima vitunguu saumu na kamataji kadogo, sasa anapeta na hataki ajira.
 
Sawa mkuu lkn yawezekana bahati yake ilikuwa kwenye vitunguu
 
Baba Sina brain damage wala nini ni mzm wa afya sana sema mi Nina masihara mengi sana, ila baadhi ya sitori n za kweli mfano hyo ya kufa kisha nikafufuka ni kweli

Mi maisha niliyaanza kitambo sema sijafanikiwa kutoboa tu
sawa bhana mzee wa "majimama"
 
Sawa mzee baba chuo nado wiki 8 tu nimalize semester ya 6. Kuhusu kujiajiri hilo Sina hofu nalo but nimepoteza miaka 17 nikiwa nasoma afu nikajiajiri hyo haiwezekan lazima niajiriwe kwanza
hapa umeandika ujinga, wewe dogo, wewe mtoto wa kimaskini motive yako inabidi iwe pesa sio kuajiriwa au kujiajiri angalia pesa ipo upande gani ndio uwende hata kama ipo kwenye ajira, tuajiriwe kwasabu umeona pesa zipo sio eti tuajiriwe kwasababu ulipoteza miaka 17 ujinga.
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.

Mkuu wewe ndo huyo kwa Avatar?
 
Ila wadogo zetu mie naona kama mnapaniki sana..yaan uko chuo unataka uwe na pesa? Kila mtu na njia yake kufanikiwa..hebu relax...!
umeongea vyedi vijana siku hizi wanataka maisha ya haraka haraka anataka nyumba ,gari masiha hayako hivyo maendeleo yanachukua muda muhimu ni kujituma na kuwa focused
 
hapa umeandika ujinga, wewe dogo, wewe mtoto wa kimaskini motive yako inabidi iwe pesa sio kuajiriwa au kujiajiri angalia pesa ipo upande gani ndio uwende hata kama ipo kwenye ajira, tuajiriwe kwasabu umeona pesa zipo sio eti tuajiriwe kwasababu ulipoteza miaka 17 ujinga.
Ni ujinga lakn lazima tukubari kuwa kujiajiri napo kunahitaji moyo mkuu. Nilishajaribu vya kutosha mkuu. Mi naona bora hata Mungu anisaidie nipate ajira hayo mengine yatafuata Kama mbinu za kujiajiri ninazo nikiajiriwa nakuwa na uhakika wa mambo yafuatayo;
1. Kupata mikopo kiurahisi kwa ajiri ya kuendeleza mipango yangu
2. Unahikaka wa pesa kila mwisho wa mwezo n.k

Mkuu kuna usemi mmoja unasema kuwa tafuta kwanza uaminifu then mengine yatafuata ajira ni dhamana mkuu
 
Hemu soma kilichoandikwa hakuna nilipokwambia ukajiajiri au kuajiriwa.
 
Ni ujinga lakn lazima tukubari kuwa kujiajiri napo kunahitaji moyo mkuu. Nilishajaribu vya kutosha mkuu. Mi naona bora hata Mungu anisaidie nipate ajira hayo mengine yatafuata Kama mbinu za kujiajiri ninazo nikiajiriwa nakuwa na uhakika wa mambo yafuatayo;
1. Kupata mikopo kiurahisi kwa ajiri ya kuendeleza mipango yangu
2. Unahikaka wa pesa kila mwisho wa mwezo n.k

Mkuu kuna usemi mmoja unasema kuwa tafuta kwanza uaminifu then mengine yatafuata ajira ni dhamana mkuu
oya bado miez mingapi tumalize semista bro???? nataka turudi zetu ziwan tukafanye busness ya dagaa tumeki mahelaaaa au vp mzee!!
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.
Uko hai, yaani namaanisha bado upo hapa duniani unaishi au ulishakufa unaandika kutokea kuzimu? Kama bado uko hapa duniani, you are as rich as the whole world. Uache muda ufanye kazi yake utasema huko mbele ya safari. Most important, keep closer to the only God all the time!
 
oya bado miez mingapi tumalize semista bro???? nataka turudi zetu ziwan tukafanye busness ya dagaa tumeki mahelaaaa au vp mzee!!
Mwisho n September 4 mkuu. Tukutane ziwani
 
Kujitolea ili kesho yake apate nini in return.?

Ni kupoteza nguvu na muda, aishi tu maisha halisi... sio lazima kuwa tajiri.

Kwani wazazi wetu wana umri gani, au ni wajinga... mbona wengi wao ni maskini tu!
Kweli kikubwa mkono uende kinywani
 
Aliyekuambia pesa ndo kila kitu nani?wapenda pesa kipindi hiki cha rona19 mnapata tabu sana haki ya mungu
Ishi maisha yako tu,pesa ni namba na namba haina mwisho,ukikimbizana nazo ni kujitesa tu,ka huna Mtoto usizae wala usioe,uwe mwenyewe tu,(_tembo hawezi kuelemewa na mkonga wake mwenyewe))
 
Yani hata chuo hujamaliza unalalamika.ukimaliza chuo ndio unakua live na maisha.hapo ndio akili hukaa sawa
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.
Kwa mwendo huu...watu kama ninyi ni wepesi sana kujinyonga.

Nikwambie tu ukweli kwamba hiyo ni trailer, picha linakuja.

Tafsiri ya elimu siyo kujifunza kuhusu ukweli, bali ni kuifundisha akili kufikiri nje ya box. Wahitimu wengi wanaishia kuishi kimasikini kwasababu hawawezi au hawataki kufikiri nje ya box. Ila usikate tamaa mkuu. Wengine tumepitia magumu zaidi ya hayo.
 
Aliyekuambia pesa ndo kila kitu nani?wapenda pesa kipindi hiki cha rona19 mnapata tabu sana haki ya mungu
Ishi maisha yako tu,pesa ni namba na namba haina mwisho,ukikimbizana nazo ni kujitesa tu,ka huna Mtoto usizae wala usioe,uwe mwenyewe tu,(_tembo hawezi kuelemewa na mkonga wake mwenyewe))
Maisha yangu n pesa pekee mkuu
 
Back
Top Bottom