SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,185
- 4,974
Acha stress ndugu maliza shule kwanza, MAISHA NI FUMBO.
jiajiri kijana usikae kutegemea ajira ndio itakukomboa na siku zinaenda hivyo.usione mtu kavaa vizuri kachomekea asubuhi anaelekea kazini na kurudi jioni na ukategemea analipwa vizuri, hapana mkuu ukutee mshahara anayolipwa ni wa kawaida sanaa na usishangae 300,000. komaa kijana weka mipango ya kujiajiriNi kweli man make duh! Mpaka nachanganyikiwa kabsa
Hujatembea na bahasha za kaki tayari umechoka? Kuna senior job seekers mwaka wa saba huu wapo mtaani na maisha yanaenda.Habari wanajamvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF.
Kwa sasa jikite tu kwenye kumaliza Shule ukiendelea kukaa kwenu.Habari wanajamvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF.
Hmmm!!Tuwasiliane dear nitakupa pesa utaenjoy. Maisha kusaidiana
Muulizee hata bandama jmn, Kila siku figo tuu [emoji3][emoji3]Uza figo
hali halisi ndo iyo...we subiri tumalize mambo mengine tutajua mbele kwa mbeleDuh! Mie kweli huwa nataman angalau niwe ata na geto la hali ya chini kabla sinamalza chuo lkn nashindwa kabsa make hata huko chuoni nakaa hostel
Du wewe bado ni kinda sana. Tena sana. Safari ya maisha ndiyo imeanza. Endelea kupigana muda bado unao.Habari wanajamvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF.
Mzeebaba umweza kama mimNinyi ndio wale wanaojinyongaga waleee...
Mi nimemaliza chuo 2017 niko mtaani sijaajiriwa natembeza maisha kibishi na harakati za kitaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Ni sawa lkn mie naona umri unasonga kwa kas ya 4G
Ila sio paniki madam miaka 26 sio kidogo. 30 haiko mbali. Mtusaidie mawazo.Ila wadogo zetu mie naona kama mnapaniki sana..yaan uko chuo unataka uwe na pesa? Kila mtu na njia yake kufanikiwa..hebu relax...!
Ofcz ni vizur kuwa na plan.Lakin kuna wakat lazima tu ukubali maisha ni hatua..Ila wadogo zetu mie naona kama mnapaniki sana..yaan uko chuo unataka uwe na pesa? Kila mtu na njia yake kufanikiwa..hebu relax...!
Sure...26 sio padogoIla sio paniki madam miaka 26 sio kidogo. 30 haiko mbali. Mtusaidie mawazo.
Sure mkuu unakuta mtu una miaka 25-28 na unaona kabisa ramani hazieleweki. Huna kitega uchumi, huna ajira ya kueleweka, huna aseti yeyote,account inasoma zero.Sure...26 sio padogo
Sure mkuu unakuta mtu una miaka 25-28 na unaona kabisa ramani hazieleweki. Huna kitega uchumi, huna ajira ya kueleweka, huna aseti yeyote,account inasoma zero.
Kwa kifupi kesho yako ina mashaka. Mbaya zaidi huo umri ndio unaanza kuwaza kuwa na familia.