Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Mtongoze skylat kwa akili sana asikujue!! wala kuhisi kuwa nimekwambia mimi! na mume wake asijue!! ufanye kazi nzuri ya kumfurahisha yeye binafsi !! uwe msafi wa mwili na roho! ! halafu lete mrejesho!!

Huyu dada ana miliki air chatttered saba!! mjini Luanda-angola utaazisimamia hizi ndege hata kuziendesha ila usimwambie mtu ukisha soma mesji hii ifute usije pigwa bao na wanao jua kufanya vizuri mapenzi au wakakuroga!

Naomba kukuuliza shangazai zako bado wapo? je unawatembelea mara kwa mara? je wana kipato au!!! je wana maelewano mazuri na mama yako? wana mabinti zao? uliwahi kuongea shobo mbele zao? hivi unajisikiaje mdogo wako akija kukuita kaka chakula tayari?

Au siku moshi hautokei jikoni, yaani kama lilivokuwa la jana vile roho inakuwaje! maarufu jiko limenuna? sipati picha!!
 
Back
Top Bottom