Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 994
Habari wanajamvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF.