Hiyo hiyo ndugu, kwani kifaranga mmoja shilingi ngapi?Smart phone yenyewe ya Tsh 120000
wengine tumejiegesha tu seem ili kukwepa kukaa home....ukizingatia na hii corona amna ata mishe ya kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo tutred foreksi
Yes dear. Nitumie namba yako nikurushie ya nauli kabisa. Karibu sana
Habari wanajamvi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.
But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?
Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.
Naombeni ushauri wenu wana JF.
Usiyatazame kwa jicho Hilo dogoMaisha siyo fair
kwanini ?Maisha siyo fair
🤣🤣🤣Akakataaa hata kuisemaWe dogo si ndio huwa unatamba kuwa unafanya biashara unapiga pesa na unanunua na mbuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23]subiri atakuja hapa now now na vikejeli vya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akakataaa hata kuisema
hahaah madam huyu c ndo huwa anadai akipata hela anaenda kula bata na majimama🤣🤣🤣Akakataaa hata kuisema