Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Sure mkuu unakuta mtu una miaka 25-28 na unaona kabisa ramani hazieleweki. Huna kitega uchumi, huna ajira ya kueleweka, huna aseti yeyote.
Kwa kifupi kesho yako ina mashaka. Mbaya zaidi huo umri ndio unaanza kuwaza kuwa na familia.
Sure mkuu..Ni kawaida kwa mwanaume kuwa frustrated na issues kama hizo.Na namuelewa jamaa.
Binafs, i gt a family,residence,cmple job but mawazo kama ya jamaa hapo hayajawah acha kuniandama at early 30's hii..sasa asumme at 26 u have not started yet, lazima uwe frustrated tu.
Na feel kile jamaa anachokizungumzia.Hasa ukiwa mwanaume.kwa mwanamke nadhan ni frustration zaid
 
Ongeza juhudi katika kupambana, usikate tamaa, huku mtaani ndio hakufai kabisa.
 
Nakubali mkuu
Mzeebaba umweza kama mim
niloona tu kichwa cha habari nkawa nimwaza kumjibu kuwa huyu ni mwepesi mno kujaribiwa na hatimaye kukata tamaa ikiwemo kujinyonga
mbaya zaidi miaka 26 bado upo chuo, huon ulichelewa mwenyewe??
kuna watu wamepambana, mitaj imeungua sori za viatu zimekata bado hawasemi haya(ila hatuhamasishi failure)

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia , achana na umri..

Tafuta pesa .. siku uliwa nayo utaishi maisha yote uliyoyapita.

Ila ukilimbilia maisha kwa kigezo cha umri utajuta.

Ukiwa hata na 40 ila unapesa .. unaweza oa hata mrembo wa 18 yrs.. ila ukiwa huna pesa nakwambia hata kuku mitaani watakukimbia.
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi shida yako sio pesa, ni kukabiliana na changamoto za kimaisha, utakapoanza kukabiliana nazo na pesa pia utaziona zikikupitia kulingana na uwezo na namna unavyopambana na changamoto.

Kamwe haitatokea siku utakayosema nina pesa kama leo ulivyosema hauna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia , achana na umri..

Tafuta pesa .. siku uliwa nayo utaishi maisha yote uliyoyapita.

Ila ukilimbilia maisha kwa kigezo cha umri utajuta.

Ukiwa hata na 40 ila unapesa .. unaweza oa hata mrembo wa 18 yrs.. ila ukiwa huna pesa nakwambia hata kuku mitaani watakukimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan hujanielewa
 
26yrs unaanza kulia lia, watu wana 50yrs bado wanakomaa na hawajatoboa...kaza kijana acha kulia lia safari yako bado ndefu.

Kwenye hiyo 26yrs kama uko chuo jitahidi ufanye vizuri kwenye masomo yako na uache ujinga wote huku ukijifunza kufanya vibiashara vya hapa na pale na kujitunzia hela.. you future is on your hands, work hard and smart kijana..
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.
Jinsia yako ipi mkuu

Kama ni ke , wanasema kuolewa nayo nii ajira. Hivyo ukiolewa mambo yatakuwa mukide mukide
 
26yrs unaanza kulia lia, watu wana 50yrs bado wanakomaa na hawajatoboa...kaza kijana acha kulia lia safari yako bado ndefu.

Kwenye hiyo 26yrs kama uko chuo jitahidi ufanye vizuri kwenye masomo yako na uache ujinga wote huku ukijifunza kufanya vibiashara vya hapa na pale na kujitunzia hela.. you future is on your hands, work hard and smart kijana..
Mkuu in fact darasani nipo vzr sana make mpaka sasa nimebakiza semester moja tu na matokeo yangu sina Supp wala C. Hivyo kitaaluma najikubali sana ila shida ipo kwenye biashara niliwahi kuanzisha biashara nikaangukia pua. Juzi kati tena nimeanzisha nimeangukia pua ila nikajua labda n kwajiri ya Corona but bado napambana
 
Hakuna ubaya ukioa au ukiolewa ukiwa na miaka 30,
Mbona fresh tu ukiwa na familia ukiwa miaka 35.
Hakuja haribika kitu ukijenga nyumba yako ukiwa na miaka 40.

Usikimbizane na maisha ya wengine ukilinganisha na maisha yako. just relax and enjoy the moment.

Jifunze kukubali maisha yako na kuishi maisha yako halisi kwa kuyafurahia huku ukiendelea kupambana na kufocus na maisha yako.

Sawa nimekuelewa sana mkuu
 
Umomi,
Bado kitaa ujafika umeshachanganyikiwa hivyo, una roho nyepesi sana.
Ngoja akae mtaani kidogo, ashindie maandazi ya jero huku akivuta taswira ya maisha ya chuo hapo ndo atakugundua maisha ni zaidi ya jf.
 
Back
Top Bottom