Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Umri Unasonga sina pesa. Nifanye nini?

Kwa mwendo huu...watu kama ninyi ni wepesi sana kujinyonga.

Nikwambie tu ukweli kwamba hiyo ni trailer, picha linakuja.

Tafsiri ya elimu siyo kujifunza kuhusu ukweli, bali ni kuifundisha akili kufikiri nje ya box. Wahitimu wengi wanaishia kuishi kimasikini kwasababu hawawezi au hawataki kufikiri nje ya box. Ila usikate tamaa mkuu. Wengine tumepitia magumu zaidi ya hayo.
Kwan nimesema kuwa napitia magumu?

Afu ninyi mnaosema kuwa wasomi hatuwazi nje ya box, mbona ambao hamjasoma mna maisha Yale Yale?
 
Miaka 26 umri unaenda mwenye miaka 50 ambae hajawashi kumilliki hata mil 1000000 asemeje
 
Aliyekuambia pesa ndo kila kitu nani?wapenda pesa kipindi hiki cha rona19 mnapata tabu sana haki ya mungu
Ishi maisha yako tu,pesa ni namba na namba haina mwisho,ukikimbizana nazo ni kujitesa tu,ka huna Mtoto usizae wala usioe,uwe mwenyewe tu,(_tembo hawezi kuelemewa na mkonga wake mwenyewe))
[/QUOTE/]

Wafariji watatanishaji!...tusidanganyane hela inasolve solutions nyingi Sana jamani!
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.

Piga nyeto
 
Ni ujinga lakn lazima tukubari kuwa kujiajiri napo kunahitaji moyo mkuu. Nilishajaribu vya kutosha mkuu. Mi naona bora hata Mungu anisaidie nipate ajira hayo mengine yatafuata Kama mbinu za kujiajiri ninazo nikiajiriwa nakuwa na uhakika wa mambo yafuatayo;
1. Kupata mikopo kiurahisi kwa ajiri ya kuendeleza mipango yangu
2. Unahikaka wa pesa kila mwisho wa mwezo n.k

Mkuu kuna usemi mmoja unasema kuwa tafuta kwanza uaminifu then mengine yatafuata ajira ni dhamana mkuu
A fixed Mindset
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.
Ipo siku utapata pesa nyingi sana ndugu yangu. Mungu akusimamie katika masomo yako mkuu.
 
Habari wanajamvi

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sina pesa sina mali yeyote nakaa nyumbani. Nikijaribu kupambana naangukia pua mpaka kuna wakati huwa nakata tamaa. Jamani nisiongee sana naombeni ushauri wenu nifanyeje ili nipate hata mahala pa kulala yani Ghetto.

But mimi ni Mwanachuo mwaka wa 3 sina mkopo wala nini na nakaribia kumaliza isingekuwa Corona mwezi July ningemaliza. Mbaya zaidi hakuna ajira make nachukua Bachelor of Arts with Education. Nifanye nini?

Nilipanga nipambane kipindi hichi cha Corona lakini bahati mbaya sana sina mtaji.

Naombeni ushauri wenu wana JF.
"Huna pesa miaka inaenda"!! Kwan uliambiwa ili miaka iende lazima uwe na pesa?
Jiulize uliumbwa ili ufanye nini? Bibilia inasema tafuta kwanza uzima wa milele na mengine utapewa kwa ziada.... Sasa umepewa afya,akili, smart phone, pakulala pakula unataka na hela!? In such 26yrs ur Young bado... ishi tu mapenzi ya Mungu hela utapata.

Pia ukisema hamna ajira sio kweli ajira zipo ila zipo kwa wachache makonki tu.

# Akili za usiku
Sending using my Tecno
 
Back
Top Bottom