Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,027
- 142,937
Don't run away from yourself!
What else?
Don't run away from yourself!
mange's follower coNaskia alichukuliwa mumewe na bestie yake.....nadhan hataki kumuona mwanamke yeyote aki enjoy na mwanaume
Then you will recover from mental illness!What else?
Duh, hicho kiwewe kimekukumba na wewe...pole sana, laana mbaya aisee. Wajanja wanajua madhara ya kumkabidhi kichaa rungu.Changeni tu ila wajinga ndio waliwao. Wajanja wataendelea kuzipiga hizo hela zenu hadi mkome.
What else?Then you will recover from mental illness!
Your siblings will enjoy peace of mind!What else?
What else?Your siblings will enjoy peace of mind!
Narudia tena Mkuu, hizo hela mnazochanga wajanja wakina Msigwa na Lema wanakesha night club wakitumbua na vimwana Nairobi. Wajinga ndio waliwao Mkuu. Jikamueni hicho kidogo mlichonacho muwape wajanja wapige.Duh, hicho kiwewe kimekukumba na wewe...pole sana, laana mbaya aisee. Wajanja wanajua madhara ya kumkabidhi kichaa rungu.
Na shida kubwa ni pale ambapo serikali ndiyo inayoaminika kuhusika. na kauli za magu ndio kabisaaa zina toa conclusion.Mimi naona serikali iachane na mambo ya Lissu kwa sababu hata ifanyeje, haitosaidia chochote.
Wamwache tu huyo Lissu achangiwe na wanaotaka kuchanga.
Mkuu Kigogo, aliyekuzaa wewe alimkatia viuno Baba yako na baada ya miezi tisa akaenda leba kukuzaa wewe.Huyu alipewa uwaziri kwa kukata viuno mwanana hivyo hajui nini maana ya kiwa waziri