Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Status
Not open for further replies.
Typically akili za Bavicha


Kwahiyo tembo wa serengeti nao waandike barua ili walindwe

Nilikuwa sijui kumbe lissu kawa mnyama siku hizi nae mpaka case yake ifananishwe na mnyama "hayawani"
Kwa ivo Tembo na Faru maisha yao yana thamani kuliko ya binadamu mwenzenu Lissu?

Hajamfananisha Lissu na mnyama bali amefananisha matukio, moja dhaifu (Faru John) na jingine la muhimu la Lissu!
 
Ngoja nitarudi baadaye kusoma maono ya wachangiaji
 
Typically akili za Bavicha


Kwahiyo tembo wa serengeti nao waandike barua ili walindwe

Nilikuwa sijui kumbe lissu kawa mnyama siku hizi nae mpaka case yake ifananishwe na mnyama "hayawani"
Mungu anawaona. Pray for TAL, Mungu wetu mponye Lisu wetu
 
Acheni madharau, Lissu na familia ni sawa na wanyama? Mna-spin bila break sasa mnaishia kulinganisha familia ya Lissu na faru!
 
Rais hakutakiwa kuishia kusema kuna mawaziri wapumbavu angeendelea kidogo kuwa mpaka kuna watendaji wapumbavu.
 
Acheni madharau, Lissu na familia ni sawa na wanyama? Mna-spin bila break sasa mnaishia kulinganisha familia ya Lissu na faru!
Sasa hapo nani ana- Spin kati ya wewe na mleta mada. Kwa mfano mtu akikuuliza "yaani unathamini gari kuliko mwanao" ina maana kamfanya mwanao ni sawa na Gari. Ama anakugutusha kwamba mwanao ana thamani kubwa zaidi kuliko Gari?

Shuleni mlikwenda kusomea ujinga. By FaizaFoxy
 
Kwa hiyo mnataka lissu akatibiwe hospitali ya faru?
Bahati mimi sio msemaji wa Serikali
 
yaani hili swala lilivyo,utadhani serikali walikuwa wanajua Lisu atakufa,kwahiyo wakaona hakuna haja ya kupoteza pesa,wakavuta subira,walipoona maendeleo ndiyo wakaona sasa wajitokeze pesa zao zikafanye kazi itakayokuwa na faida na siyo ifanye kazi halafu mtu afe.
Lakini serikali walipaswa kutanguliza ubinadamu,maana katika mazingira yale kiukweli Lisu alipaswa apelekwe sehemu salama,maana kumtoa Tanzania hakukumaanisha kuwa hospitali zetu hazina uwezo, la!ilikuwa ni kwa ajili ya usalama wake.Wauaji wangeona kuwa hawakufanikiwa huenda wangerudi hukohuko hospitali.
 
Imani, ushabiki, na mapenzi ya vyama hutufanya tusifikiri ipasavyo. Ukiamini jambo fulani hata harufu ya kinyesi utaona nzuri. Ni aibu kwamba kutetea vibarua vyao ccm hawaoni haki waliyonayo wengine.Wao huamini ni bora zaidi na wanastahili zaidi kuliko wengine. Shame on them.
 
Ni ushauri na mapenzi yangu kwa nchi yangu na utawala uliopo madarakani. Kujenga imani kwa wanafamilia wa Lissu na wananchi wenye mapenzi mema juu ya serikali yetu na nchi yetu na muonekano wa nchi yetu kimataifa kuna kila sababu niliowataja mmoja wao kufika Nairobi Kenya kumjulia hali Mhe. Tundu Lissu. Hii kwanza itasaidia kuondoa doa kwa nchi yetu juu ya kauli ya Mhe. Mbowe kuwa ana mashaka makubwa juu ya uhusika wa vyombo vya ulinzi na usalama. Binafsi siamini kama uongozi wa juu wa nchi yetu unaweza kupanga njamaa hizo. Rais wetu na familia yake ni watu wenye hofu ya Mungu hata kama anakerwa na namna anavyokosolewa na wapinzani akiweno Mhe. Lissu, lakini siamini kabisa kama anaweza kuhusika au kuamru watu wake kuondoa uhai wa binadamu kama yeye. Najua mhe. Rais ni binadamu anaweza kuwa anaumizwa na namna anavyokosolewa wa wapinzani lakini hawezi kuwachukia na wala hawezi kuwafanya chochote niliowataja kama watachukua uamuzi wakimtembelea Lissu.
Kunusurika kifo kwa Lissu ni mpango wa Mungu wa kuturejesha watanzania pamoja. Zipo pia dalili za wazi wale Zitto anaowaita welevu ambao wanataka kujineemesha kwa kuhisi udhaifu wa kibinadamu ambao wao wanaamini kuwa Mhe. Rais anao wa kuchukia wanao mkosoa waziwazi na ndio huenda ni wahusika wakuu wa mpango wa kumshambulia Lissu kwa lengo tu la kumfurahisha Mhe. Rais. Watu wa namna hii wapo hata ofisi za chini muda wao mwingi ni kumfitinisha kiongozi hata na watumishi wenzao, wao ndio huwa wanufaika na semina, washa, kupanda vyeo n.k. Hao ndio Mhe. Zitto huwaita welevu, inawezekana hata rafiki zake akina Prof. Mkumbo na mama Anna Nghwila wameshaingia kwenye kundi hili huenda hata kwa sasa Zitto akiwapigia simu wanaweza wasipokee simu yake. Binadamu tunabadilika na tukio la Lissu litatubadilisha na litatufanya tuwe tofauti na Rwanda, Burundi, Zimbabwe na Kongo na nchi nyingine za zisizofata demokrasia, ambazo marais wake wamekaidi kuheshimu au hata kubadili katiba waendelee kubaki madarakani ili wale welevu anaowaita Zitto na wao waendelee kula nchi . Mswada ya mwanasiasa kama Nkamia kama ni kweli kutaka kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani ni namna ya kujipendekeza kwa Rais au Vijana wa UVCCM na BAVICHA kutwa nzima kushinda kwenye mitandao kutukana ni namna ya kujipendekeza kwa wanasiasa. Nimalizie kwa kusema Mungu bado anatupenda watanzania naamini kabisa kunusurika kwa Lissu ni mpango wa Mungu kama kuna waliofanya tendo hili la kinyama kwa lengo la kuwafurahisha watawala,watawala wetu wataonyesha kuwa hawakufurahia tendo hili na utakuwa mwisho wa kujipendekeza na kuonyesha hilo ni kumtembelea Lissu na ikiwezekana ghalama za matibabu ya Lissu serikali imurejeshe Lissu pesa zake alizochangiwa na wananchi kwa sababu hati za malipo zipo. Nitoe mfano mdogo mmojawapo kuonyesha Mungu kuwapenda watanzania ni kumuumbua hadharani Mhe. Mkuu wa mkoa wa Dar kuhusika na sakata la vyeti feki. Alinyanyasa watumishi kwa matusi hadharani mbele ya wananchi kwa lengo la kujipendekeza kwa mamlaka ya uteuzi wake na kwa wananchi. Baada ya Mungu kumuumbua sasa Mkuu huyu wa mkoa amekuwa mtu safi na amekuwa na utu anafanya kazi zake vizuri amekuwa mbunifu mzuri wa kutatua kero za wanadaresalamu. Nimeshangaa hata majuzi anaomba hata msamaha kwa niaba ya wananchi kwa madaktari wa Dar na wote wanaotoa huduma za afya kwa matusi na lugha wanazopata toka kwa wagonjwa na ndugu wa wagonjwa. Wakati kipindi cha nyuma aliongoza kwa kuwatukana watumishi na wataalamu wetu tena akiwa mubashara na vyombo vya habari. Mwisho sasa si kwa umuhimu niliowataja mmoja wao au wote kila mmoja kwa wakati wake fikeni kumjulia hali Mtanzania mwezetu, kiongozi wa wanasheria na mbunge wa wana Singida aliyefanyiwa unyama uliopindukia Mhe. Tundu Lissu.​
 
acheni kupangia watu majukumu basi hata mimi baba yangu anumwa huko kigoma waende basi wakamjulie hali
 
acheni kupangia watu majukumu basi hata mimi baba yangu anumwa huko kigoma waende basi wakamjulie hali
Samahani lakini, baba yako amelitendea nini taifa hili akastahili heshima ya kujuliwa hali kitaifa? Usije na jibu kuwa alikuwa mvuvi mzuri wa migebuka au alikuwa mtengeneza mawese mzuri hizo sio sifa za kitaifa za ku pay attention.
Pili Lissu kashambuliwa kwa nia ya kuuwawa kutokana na majukumu yake ya kazi na mzee wako huko Kigoma yaweza kuwa ni maradhi yanayosababishwa na kutozingatia matumizi ya vyoo ambavyo hana na wewe uko mjini na michepuko huku uwezo wa kumjengea hata choo cha shimo unao.
Sorry lakini kama nimekukwaza ila unastahili majibu hayo.
 
Samahani lakini, baba yako amelitendea nini taifa hili akastahili heshima ya kujuliwa hali kitaifa? Usije na jibu kuwa alikuwa mvuvi mzuri wa migebuka au alikuwa mtengeneza mawese mzuri hizo sio sifa za kitaifa za ku pay attention.
Pili Lissu kashambuliwa kwa nia ya kuuwawa kutokana na majukumu yake ya kazi na mzee wako huko Kigoma yaweza kuwa ni maradhi yanayosababishwa na kutozingatia matumizi ya vyoo ambavyo hana na wewe uko mjini na michepuko huku uwezo wa kumjengea hata choo cha shimo unao.
Sorry lakini kama nimekukwaza ila unastahili majibu hayo.
kweli leo nime amini mtu unaweza kuwa unashikiliwa akili zako bila kujijua na hata kufikia mahala ya kuufanya watu fulani kuwa miungu watu sasa wewe hivi lisu ataakiwa nani kwenye nchi hii anaweza kufanana na baba yako watu huwa wanafikiria kwa ubongo lakini wewe nadhani kuna kiungo kingine amabacho umetumia kufikiria ok ngoja maisha yaendelee.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom