Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Status
Not open for further replies.
kweli leo nime amini mtu unaweza kuwa unashikiliwa akili zako bila kujijua na hata kufikia mahala ya kuufanya watu fulani kuwa miungu watu sasa wewe hivi lisu ataakiwa nani kwenye nchi hii anaweza kufanana na baba yako watu huwa wanafikiria kwa ubongo lakini wewe nadhani kuna kiungo kingine amabacho umetumia kufikiria ok ngoja maisha yaendelee.
Wewe ndio Wa kufikiria, jiulize kwa nini baba yako ni mgonjwa na watu hawana habari naye zaidi yako mwenyewe!
 
kweli leo nime amini mtu unaweza kuwa unashikiliwa akili zako bila kujijua na hata kufikia mahala ya kuufanya watu fulani kuwa miungu watu sasa wewe hivi lisu ataakiwa nani kwenye nchi hii anaweza kufanana na baba yako watu huwa wanafikiria kwa ubongo lakini wewe nadhani kuna kiungo kingine amabacho umetumia kufikiria ok ngoja maisha yaendelee.
Sidhani kama unaweza pigwa shule hapa ukaelewa. Labda nikupe kidogo tu jibu ulilopewa awali umelinganishiwa mchango wa baba yako na wa Lissu
kwa Taifa. Siyo mlinganisho wa mchango wa kimaisha kati ya baba yako na Lissu kwako wewe binafsi au kwenye familia yenu.
 
Naipongeza sana kwa serikali jinsi ilivyoshughulikia wahanga wa ajali huko Uganda, nimeona naibu waziri wa mambo ya nje akiwa uwanja wa ndege kupokea majeruhi hao.
Ningependa kuona serikali ikichukua hatua kama hiyo kwa Mheshimiwa Tundu Lissu ikiwezekana viongozi waandamizi wanamtembelea hospitalini Nairobi kumjua hali.
 
Lissu ni ngumu sababu chadema ilipenda ahudumiwe na UN,EURO na chama cha wanasheria duniani ndio maana waligoma kupelekwa muhimbili na india!
 
Mnauliza kitu kile kile, majibu frm day 1 mlishapewa, au mnafurahia kujibiwa jibiwa kitu kile kile?
 
Baba wa family akiwa mbaguzi kwa family yake baadhi ya watoto watatengwa tu kwa sababu wanampinga maamuzi yake
 
Naipongeza sana kwa serikali jinsi ilivyoshughulikia wahanga wa ajali huko Uganda, nimeona naibu waziri wa mambo ya nje akiwa uwanja wa ndege kupokea majeruhi hao.
Ningependa kuona serikali ikichukua hatua kama hiyo kwa Mheshimiwa Tundu Lissu ikiwezekana viongozi waandamizi wanamtembelea hospitalini Nairobi kumjua hali.

Kwani Lissu ana ndugu Waziri au Lissu ni Mwanachama wa Chama Cha Mauaji?
 
Sasa hata uchunguzi hauhitajiki. Wauaji wa Lissu wasiojulikana sasa wanajionyesha dhahiri kwa matendo na maneno yao. WANAJULIKANA. Walitaka wammalizie Muhimbili baada ya risasi zao 30 za SMG na 8 za pistol kushindwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom