Rubbish, aombe radhi kwa lipi??? Akina mbowe wenyewe hawaiamini serikali ndiyo kusema wabembelezwe, nadhani nyie wanafiki mmeuona mziki leo arusha
..ndiyo tumeuona mziki.
..sasa ruhusuni basi walau na sisi tukusanyike tumuombee mgonjwa wetu yupo ICU.
..nyinyi endeleeni na mziki.
..sisi tunataka kufanya MAOMBI.