Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,200
- 3,603
Sawa.
Huyu alipewa uwaziri kwa kukata viuno mwanana hivyo hajui nini maana ya kiwa waziri
mkuu kubali tu kuwa issue imebebwa kisiasa sana..Mbona familia ilimuomba Waziri na Spika kwamba wampeleke Nairobi badala ya Muhimbili
na wakakataa?
mkuu kubali tu kuwa issue imebebwa kisiasa sana
kubali kila upande una makosa
kubali kuwa referral organ ni muhimbili
kubali kuwa kwa hali ile, ambaye angejifanya anawashwa kutoka serikalini ndio angeonekana muuaji
tukubali pia serikali inaweza ika act bila taratibu....mawasiliano yalikwaje?
Kama una muda ngoja tuzungumze kidogo.Upelelezi utafanikiwa kivipi wakati yule shahidi muhimu mmemficha Nairobi? Eti yeye atautoa ushahidi huo kwa Scotland yard au FBI tu na siyo kwa wapelelezi wetu ambao hamna imani nao. Hivyo upelelezi mmeukwamisha wenyewe kwani serikali haiwezi kuruhusu wapelelezi wa kizungu nchini kwetu.
Tatizo hata ikijaribu kuacha "nafsi" inasuta. Ikijaribu kuweka pamba masikioni isisikie, bado inatamani kusikia. Kiukweli kuachana na hoja ya Tundu Lissu ni ngumu kuliko unavyofikiria mkuu. For almost two weeks now, the story is the same. Kama wewe tu umeshindwa kuachana na story hizi, itakuwa na serikali???Mimi naona serikali iachane na mambo ya Lissu kwa sababu hata ifanyeje, haitosaidia chochote.
Wamwache tu huyo Lissu achangiwe na wanaotaka kuchanga.
Mnajipendekeza kwa Lissu duuuuuh na kasema hataki misaada yenuNi sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi
Mkuu chama ndio kinachaguliwa serikali haichaguliwi watake wasitake wataipenda tu serikali na wataiheshimu wakiona hawawezi watafute nchi yakwenda na wataiomba serikali iwaruhusu. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]..kosa la CDM ni lipi?
..wamempeleka TL Nairobi despite all the challenges they had na wameweza kuokoa maisha yake.
..YES, Muhimbili is a referall organ,lakini kwa hali aliyokuwa naye TL kulikuwa na ulazima kwa waziri kuchukua maamuzi nje ya taratibu.
..Waziri anakosea kuiweka familia ktk wakati mgumu wa kuchagua kati ya CDM na SERIKALI.
Mimi naona serikali iachane na mambo ya Lissu kwa sababu hata ifanyeje, haitosaidia chochote.
Wamwache tu huyo Lissu achangiwe na wanaotaka kuchanga.
Acheni Bangi nyie. Mlikimbia Na mgonjwa wenu Sasa maji ya shingo hamjui mfanye nini
umeongea kitu cha maana sana mkuu!!Mimi naona serikali iachane na mambo ya Lissu kwa sababu hata ifanyeje, haitosaidia chochote.
Wamwache tu huyo Lissu achangiwe na wanaotaka kuchanga.
Huenda "Shetani" alifanya mioyo yao kuwa na hisia/dhania kuwa asinge-survive. Na kwamba kwa wakati ule wangepoteza tu pesa kumtibu "mtu wa kufa"..kule CDM kuna watu wazima ambao vichwa vyao vimetulia.
..Mh.Ummy Mwalimu angeweza kuwa-approach hao ili serikali iweze ku-play a role ktk kumtibu TL.
..lakini hili la kwenda kwenye vyombo vya habari na kuielekeza familia/mkewe TL aandike barua serikalini nadhani siyo uungwana.
..Mama Alicia Lissu already has enough stress. Sasa ya nini kumuongezea masahibu mengine ya kumtoa mgonjwa ktk mikono ya watu waliomhangaikia mpaka leo ana nafuu, na kumkabidhi kwa serikali ambayo haikumjali TL wakati ule yupo ktk hatihati ya kufa?
..@Kigogo, please please please.
..siyo vizuri kumvunjia heshima Mh.Ummy Mwalimu.
..tuwe na lugha za staha tunapozungumza kuhusu Dada zetu/ Mama Zetu.
..hili bandiko lako linaweza kusomwa na mumewe Mh.Mwalimu au linaweza kuishi na kuja kusomwa na wanae Mh.Mwalimu.
..bandiko lako halipendezi.
..nakuomba ulifute.
Rubbish, aombe radhi kwa lipi??? Akina mbowe wenyewe hawaiamini serikali ndiyo kusema wabembelezwe, nadhani nyie wanafiki mmeuona mziki leo arusha..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.
..Mh.Ummy Mwalimu ndiye aliyetoa uamuzi kwamba serikali haitalipia ndege wale matibabu ya TL Nairobi.
..Sijui kama Ummy Mwalimu aliweza kumwangalia usoni mke wa Tundu Lissu usiku ule pale uwanja wa ndege Dodoma. Na kama alimwangalia sijui alijisikia vipi.
..Je, hakuguswa na hali aliyokuwa nayo Tundu Lissu? Je nafsi yake ilimtuma kwamba taratibu ni muhimu kuliko maisha ya mtu?
..Ule ulikuwa ni uamuzi mbaya. Huenda Mh.Ummy Mwalimu aliogopa KUTUMBULIWA kama angechukua uamuzi kwa niaba ya serikali kulipia usafiri na matibabu ya TL Nairobi.
..Kwa maana hiyo Mh.Ummy Mwalimu aliona ni bora kulinda cheo chake kuliko kuokoa maisha ya mbunge mwenzake, mwanasheria mwenzake, Tundu Antipas Lissu.
..Sasa haitoshi Mh.Ummy Mwalimu kujitokeza baada ya wiki mbili na "KUTENGUA" uamuzi wake wa awali kuwa serikali haitahusika na kumsafirisha wala kumtibu Tundu Lissu Nairobi.
..Si vizuri kuiweka familia ya TL katika mvutano huu baina ya serikali na CDM. Mh.Ummy Mwalimu muonee huruma Mama Alicia Lissu, mke wa TL. Kabla ya kumuamrisha Mama Alicia Lissu akuandikie barua ya maombi ya matibabu ya mumewe ni vizuri ukaweka sawa mahusiano ya serikali na CDM[wanaomhudumia TL mpaka sasa hivi].
..Ombi langu ni hili: MHESHIMIWA UMMY MWALIMU OMBA RADHI. SAY THAT YOU MADE A BAD DECISION AND YOU ARE SORRY.
CC Nguruvi3, BAK, Nyani Ngabu, Mbase1970 , Mag3, @