Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Ummy Mwalimu aitetea Serikali kuhusu Lissu

Status
Not open for further replies.
Wanapanic kuona mission imefeli baada yakuzidiwa akili na chadema..yaani maramia wangempeleka kwa maganga wakienyeji kuliko muhimbili maana walishajipanga wamalize kazi...sasa wanatapatapa sana...
 
Si serikali peke yake iliyoleta siasa.

Hata CHADEMA walileta siasa.
Nyani Ngabu, kuna Uzi unasema haujiangaishi na habari/nyuzi zinazomzungumzia Lissu.Katika Uzi huu hii ni comment yako ya 5 kati ya comment zote 47 za Uzi huu.Hii ni kusema kuwa 10.6% ya michango yote katika Uzi huu ni michango yako MTU mmoja.
 
Wewe ndiyo msemaji wa Familia ya Tundu Lisu? Au wewe ni Wema Sepetu? Kwa maana yeye ni mjomba wake!
Bandiko hili lina makosa gani? Mbona nilisha kushauri kuhusu kuwa na hisia za kibinadamu mapema tuu? Or are you a robot hivyo huna hisia zozote za kiutu?
Mwacheni huyo mama Ummy ajitafakari mwenyewe kama binadamu na pia kama muislamu jee alivyotenda ndivyo? Hata yeye anaipenda pepo baada ya maisha ya duniani. Kwanza bado umri wake mdogo sana, akiondolewa kwenye nafasi ya uwaziri anao muda wa maisha mengine kwa muda mrefu tuu
 
Rubbish, aombe radhi kwa lipi??? Akina mbowe wenyewe hawaiamini serikali ndiyo kusema wabembelezwe, nadhani nyie wanafiki mmeuona mziki leo arusha
Mziki wakufunga viwanda wafanyakazi waende kwenye mkutano..yaani huyo mzee meko kwa taarifa yako haya mkewe hakumpigia kura...na anajua Tanzania nzima hapendwi ndio maana anakubali kuleta walinzi wanyarwanda kuja kumlinda..maana yake anajua watu hawampendi
 
..kichwa cha habari hapo juu kinahusika.

..Mh.Ummy Mwalimu ndiye aliyetoa uamuzi kwamba serikali haitalipia ndege wale matibabu ya TL Nairobi.

..Sijui kama Ummy Mwalimu aliweza kumwangalia usoni mke wa Tundu Lissu usiku ule pale uwanja wa ndege Dodoma. Na kama alimwangalia sijui alijisikia vipi.

..Je, hakuguswa na hali aliyokuwa nayo Tundu Lissu? Je nafsi yake ilimtuma kwamba taratibu ni muhimu kuliko maisha ya mtu?

..Ule ulikuwa ni uamuzi mbaya. Huenda Mh.Ummy Mwalimu aliogopa KUTUMBULIWA kama angechukua uamuzi kwa niaba ya serikali kulipia usafiri na matibabu ya TL Nairobi.

..Kwa maana hiyo Mh.Ummy Mwalimu aliona ni bora kulinda cheo chake kuliko kuokoa maisha ya mbunge mwenzake, mwanasheria mwenzake, Tundu Antipas Lissu.

..Sasa haitoshi Mh.Ummy Mwalimu kujitokeza baada ya wiki mbili na "KUTENGUA" uamuzi wake wa awali kuwa serikali haitahusika na kumsafirisha wala kumtibu Tundu Lissu Nairobi.

..Si vizuri kuiweka familia ya TL katika mvutano huu baina ya serikali na CDM. Mh.Ummy Mwalimu muonee huruma Mama Alicia Lissu, mke wa TL. Kabla ya kumuamrisha Mama Alicia Lissu akuandikie barua ya maombi ya matibabu ya mumewe ni vizuri ukaweka sawa mahusiano ya serikali na CDM[wanaomhudumia TL mpaka sasa hivi].

..Ombi langu ni hili: MHESHIMIWA UMMY MWALIMU OMBA RADHI. SAY THAT YOU MADE A BAD DECISION AND YOU ARE SORRY.

CC Nguruvi3, BAK, Nyani Ngabu, Mbase1970 , Mag3, @
Mmetuchosha na post zenu!hamna kipya. ...tumechoka na porojo za kipuuzi....lissu si mtanzania pekee....si muhimu kuliko watanzania wengine....wako wanaohitaji tiba nje ya nchi....Serikali inasaidia kila mtanzania anajua!chadema kataeni na msitafute huruma na michango ya watu maskini!kila mtu atakufa!ebo ! [emoji15] [emoji15]
 
Rubbish, aombe radhi kwa lipi??? Akina mbowe wenyewe hawaiamini serikali ndiyo kusema wabembelezwe, nadhani nyie wanafiki mmeuona mziki leo arusha
Kama anajiamini aruhusu waje FBI hapa kuchunguza kama pumba hazijawatoka kwenye pumbu
 
..huyu sasa kazidi kiherehere....si anyamaze tu!!!wanazidi kutapatapa....huyu anataka zaidi kuvuliwa nguo na kina mange..... Wameshachemka wanahaha sasa...
 
Nyani Ngabu, kuna Uzi unasema haujiangaishi na habari/nyuzi zinazomzungumzia Lissu.Katika Uzi huu hii ni comment yako ya 5 kati ya comment zote 47 za Uzi huu.Hii ni kusema kuwa 10.6% ya michango yote katika Uzi huu ni michango yako MTU mmoja.

Hahahaaa daaah

We jamaa unachekesha kweli yaani!

Kati ya mimi na wewe nani anayehangaika sasa?

Kwa hiyo ndo kusema unanifuatilia sana eeh?

Yaani tena dizaini unanifuatilia kwa ukaribu sana.

Unahesabu kabisa ni mara ngapi nimechangia wapi na ni sawa na asilimia ngapi...teh teh teh.

Sikujua unani admire kiasi hicho aisee.

Thank you for being my #1 fan.

You are appreciated.
 
Tunachanga na tutaendelea kuchanga hicho kiasi kidogo tulicho nacho...Mh. Tundu Antiphas Lissu ndiye mzalendo pekee katika taifa hili baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Huyo Ummy Mwalimu anateseka, kiwewe kilichowakumba wenzake wote na yeye hakijamwacha salama. Waliokuwa wasaidizi wa Adolf Hitler wote wanawindwa hadi leo miaka zaidi ya 80 toka alipojiua yeye na mkewe.
Changeni tu ila wajinga ndio waliwao. Wajanja wataendelea kuzipiga hizo hela zenu hadi mkome.
 
Mungu shusha rungu lako piga watu wote wanaojulikana na wasiojulikana na washirika wao wote
 
Alikuwa wapi siku zote huyo mama ??? Mungu sio mwanadamu. Tumwombee TL na kuchangia matibabu. Kumbuka hujalazimishwa toa kwa Moyo. Mungu mponye Ndugu yetu TL na waadhibu ktk Maficho yao hao mashetani wanaoonwa na Mungu kudhamiria kumwua TL.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom