Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Hawa ndiyo mawaziri bwana mkubwa alikuwa anakesha anachambua majina yao.
.Ili serikali iweze kushiriki, ni lazima yawepo maombi ya kufanya hivyo.
Ni sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi
Mh Waziri nafikiri fanyeni kwa Busara bila kutaka kujiondoa kwenye lawama kwa nguvu. Mlipieni mgonjwa kwa sababu ni Mtanzania na yuko kwenye ajira ya Bunge. Anastahiki.
Haya mengine ya kuwa alijitoa kwenye mfumo wa serikali ni urasimu husio na maana. Angalau Mh Sitta Hakuwa mbunge au kwenye ajira yoyote ya serikali. Mnachofanya sasa mnauthibitishia ulimwengu kauli ya rais wetu aliyoitoa huko Ugunja akimulaumu Mh Shein kwa kumpeleka Maalimu Saif kwa matibabu. Msaidieni Rais haya mambo ili yeye ashughulike na mambo makubwa.
Mh Lissu hapo Dodoma Hakuwa katika hali ya kuamua chochote. Na ilikuwa Busara tu kuchukua maamuzi ambayo yangesaidia kuokoa uai wake unless hii haikuwa priority!
Hao waliopaswa kuiandika hiyo barua ndio wa kuulizwa. Wameingiza siasa ambazo hazina faida zaidi ya kushuhudia watu wanatokwa mapovu.Kwa utaratibu huu mgonjwa hujiandikia barua ya maombi au huandikiwa na mtu?
Nyie hamweleweki mnayemlalamikia Leo ndio Huyo mumemtuhumu kapiga risasi afu hamna imani naye sijui kama mngeruhusu hizo taratibu zifuatwe? Lakini kwani kuna ubaya gani kutibiwa na chama? Wangeona kunaulazima Wa serikali wangefuata utaratibu kwanini usumbuke na mtu asiyekuamini? Sikuona hata sababu mtu Fulani kutangaza hadharani kuwa serikali haikuchangia wakati hamuiamini mi kama ninhekuwa rais ningezuia serikali isiongelee masuala ya lissuWe always say "break the rule to accommodate customer(s)". Kwa critical condition kama ile si vyema sana kushikilia bureaucratic procedures of the government unless you are after death. Kwa maoni yangu hata ingekuwa kiongozi yoyote wa nchi yetu imetokea vile au hata ajali mbaya ya gari au chombo chochote cha usafiri lazima baadhi ya taratibu inabidi zisifuatwe ili kuoko maisha yake. Ndio mana hata issue ya PF3 wananchi walitoa maoni wakati fulani kuwa kusubiri majeruhi apate pf3 huku akiwa Hali mbaya sio vyema, tuangalie kuokoa uhai kwanza.
Mbona hawasemi aliyegharamia matibabu ya awali Dodoma na walishauliwa nini na madaktari Wa dodomaVery logical point. Ndicho kilichotakiwa kufanywa. Je ufuate urasimu mtu afe useme tulikuwa tunafuata taratibu au kuvunje taratibu ili kuokoa uhai wa mtu? Uhai kwanza taratibu badae
Sina chama namsapoti baba jesca na mungu aendeleee kumweka hai. Na ninamwombea sana lissu na sipendi kuona tatizo LA mwenzetu linazungumzwa kivyama ni ujinga na ulofa kama naouna kwakoKaa na uccm wako... Lodilofa weee[emoji16] [emoji16] [emoji16]
wakuu hapo juu wote mnaongea kwa hasira, uchungu na gubu. Ila ndio iko hivyo. ni serikali hiyo ni dudu kubwa ambalo halina aibu lina system a procedures. hauzifuati wala haikuangalii
Of course logic ya serikali kutogharamia matibabu ya Lisu ipo japo hawiweki wazi, eti unaanzaje kumtibia mtu ambaye mara kadhaa umesema hastahili kuishi????Ni sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi
kama ingekuwa ishu ni hiyo, basi mbona wala tusingekuwa tunaongelea haya? maana barua ingeandikwa siku ile ile na serikali inge-take over. lakini walikataa kabisa, na ndio maana hawajakanusha hilo. haya maelezo yanakuja baadaye baada ya kuumbukaNi sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi
Kwani kupayuka kule kuna MTU aliwaomba msaada wa matibabu wao serikali...!!!? Wananchi tutamtibia wenyewe na hela yetu ya vitumbua wenyewe waendelee na uwongo wao majukwaani...shame on you UmmyNi sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi