Bila shaka alikuwa anatupa ujumbe wenyeji wa huko kuwa hata kama ni viti maalumu ila muwe mnaangalia na mtu mwenyewe huoni mmeniingiza mkenge na kama mnavyojua utumbuaji kwasasa sio dili.Rais Magufuli Alipokua Tanga Tarehe 6 August 2017 Alisema Kuna Mawaziri Wapumbavu, Ummy Mwalimu Anatokea Tanga !!
Sijui umekula maharage ya wap ww!! Hivi unajua rais mpaka nguo anazovaa inanunua serikali?? Sembuse akiumwa ? Ukiwa mtupu kichwan kaa kimya usije umbuka! Kwa taarifa yako chochote anachokifanya rais ni lazma kipitiwe na wana usalama. Mpaka kwenda chooon.Ni sawa kabisa utaratibu huu upo hata kwa watumishi wengine usipofuata mfumo Wa serikali ujigharamie hata awe rais. Mabadiriko hayawezi kuanza kwa lissu lazima utaratibu ufuatwe huku tukizingatia kubana matumizi
Kwakuwa yuko kwenye utaratibu asipofuata utaratibu hagharamiwi hiyo ndio point yangu naomba nieleweke kuwa taratibu lazima zifuatwe kabda kama we sio mtumish nitakuwa nakueleza kitu ambacho hukijuiSijui umekula maharage ya wap ww!! Hivi unajua rais mpaka nguo anazovaa inanunua serikali?? Sembuse akiumwa ? Ukiwa mtupu kichwan kaa kimya usije umbuka! Kwa taarifa yako chochote anachokifanya rais ni lazma kipitiwe na wana usalama. Mpaka kwenda chooon.

Kwann baada ya wiki mbili kupita ndio watoe kauli ya kutaka kumtibiaKwa kifupi serikali ndiyo iliyoomba sasa Tundu Lissu wamtibu. Hotuba ya Mbowe imesema alipigiwa simu Tarehe 19 Mbowe akakataa. Baada ya Mbowe kukataa hawakuipigia simu familia kama walivyompigia simu Mbowe, badala yake kesho yake Ummy akatangaza kwamba familia ikiomba watalipia matibabu.
Ukidanganya jua kutunza kumbukumbu.
Muda wote walikuwa wapi kuyasema hayo walioyaongea jana
je wamesahau kauli zao tata mjini DODOMA walipokuwa kwenye kikao cha dharura general hospital
the liars should have good memories.... Buuuuu shiiit!!!!!Upelelezi utafanikiwa kivipi wakati yule shahidi muhimu mmemficha Nairobi? Eti yeye atautoa ushahidi huo kwa Scotland yard au FBI tu na siyo kwa wapelelezi wetu ambao hamna imani nao. Hivyo upelelezi mmeukwamisha wenyewe kwani serikali haiwezi kuruhusu wapelelezi wa kizungu nchini kwetu.Kwa nini mnataka kujibu kila kitu?
Risasi 30+ na hakuna aliyekamatwa mpaka leo.Vidole vinaelekezwa kwa vyombo vya dola bado mnatoka na kutoa ufafanuzi kila kukicha.
Tupeni update ya upelelelezi mgonjwa ni "critical lakini stable!!!