Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uombe kwa niaba ya auntie sio?
Ewaaaaa...
Nitamuelewesha Frank vizuri kabisaaa
 
Superstar espy hatujafahamiana PM..namjua.

Wewe haujaachwa superstar?
Kwamba tulifahamiana kwenye kuchunga ng'ombe si ndio?
Hata mimi nimeachwa ujue[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Mwanaume anampenda sana mwanamke, najua tu ipo siku atamsamehe. Hata hii ya kunilaumu naona tu ni anatafuta pa kutulizia machungu.
Wanaume huwa hatusamehi makosa hayo...huyu najua mmeshamlisha yakumlisha...
 
Unaangalia upande wako tuu ili uwe safe, usionekane mbaya!
Angalia moyo wa Frank anayeumizwa bila sababu huku nawe ukijua!
Wote ni rafiki zako, ndo maana ukamuonya Lulu vipi kuhusu Frank?!
Aliekosea ndie anaeonywa, Frank anaonywa kwa lipi?
 
Kwamba tulifahamiana kwenye kuchunga ng'ombe si ndio?
Hata mimi nimeachwa ujue[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hahaha hahaha hahaha. Wewe umeachwa lini eti
 
Hahaha hahaha hahaha
Kumbe unamjua sana eeh..

Mimi sijaachwa kabisaaa superstar!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbafu zenu.
 
Kwamba tulifahamiana kwenye kuchunga ng'ombe si ndio?
Hata mimi nimeachwa ujue[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Wewe najua ka Lulu ulikaspy tu.... ili muendelee kuwa marafiki wa kufa na kupona na F F.
 
Wapo wanaosamehe n amaisha yanasonga. We kivuruge najua huwezi kusamehe.
Yaani mwanamke akinicheat sitakuwa naona sura yake nitakuwa naiona sura ya mwanaume aliyecheat naye.

Kweli unataka nidate mwanaume mwenzangu?
 
Back
Top Bottom