[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Next time uache kazi ya kuwadi.. ni mzigo wa lawama for sometime
Huyo nae sasa ungemwambia wewe ingebadilisha nini?Nimeelezea sana, anachodai yeye ni kuwa kama rafiki yake nilipaswa kumueleza no matter what[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji849][emoji849] Hili nalo nenoMpe K frank atulie shida nini??
Babaawadelete wote, anza upya wasikuchoshe
Hatafuti wa kumlaumu ila alikuamini sasa anaona umemwangusha. Mwonyeshe pia ulimwamini angeweza kuendesha mahusiano yake pasipo wewe kuyaingilia.Ni kama anatafuta wa kumlaumu tu basi ndicho nilichoona.
Hatafuti wa kumlaumu ukweli upo wazi, ulijua na hukumwambia!Ni kama anatafuta wa kumlaumu tu basi ndicho nilichoona.
It works..ila uwe mjanja kama kaka yako.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Will try this.
Maamuzi ya haraka ni kuvunja urafiki nao unaweza???Kwamba?