Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitandao imemshinda nishamshawishi sana ajiunge na JF kagoma. Yeye whatsapp tu kamaliza.
Bora manake...duh...Frank hata akija atapiga kimya au ataishia PM ilakwa hurka za akina Lulu oangechimbika...
 
Yaani mwanamke akinicheat sitakuwa naona sura yake nitakuwa naiona sura ya mwanaume aliyecheat naye.

Kweli unataka nidate mwanaume mwenzangu?
Khaaaaaah!!!
Kwahiyo bora usijue si ndio?
 
Bora manake...duh...Frank hata akija atapiga kimya au ataishia PM ilakwa hurka za akina Lulu oangechimbika...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna uzi mmoja uliletwa na mwanamke humu alafu mwanaume akaja kulichimba. Hivyo hiyo hulka iko pande zote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna uzi mmoja uliletwa na mwanamke humu alafu mwanaume akaja kulichimba. Hivyo hiyo hulka iko pande zote.
Basi yote yanawezekana...ngoja tusubiri....hahaaaa
 
Back
Top Bottom