Umewahi kuwa dilemma?

Umewahi kuwa dilemma?

Ila nawe kama ulikuwa una report report tuvitu ukaamua kumfichia shoga ako.

Ulinywe...maana utakuwa biased.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba nareport vitu vinavyohusu mahusiano yao?[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Hatafuti wa kumlaumu ukweli upo wazi, ulijua na hukumwambia!

Hapo inabidi ujirudi umuombe msamaha au uwapoteze wote wawili!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Niombe msamaha, aiseee!!!!!!!
 
It works..ila uwe mjanja kama kaka yako.

Au mzee mama ulitaka kummiliki Frank nini maana wewe mbaya saana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si kwamba ningemwambia ndio nilitaka kummiliki?
 
Navyojua mie kuna shemeji halafu kuna rafiki na shemeji. Frank ni rafiki yako na shemeji yako!
Ungemwambia tuu kama rafiki, sasa hukumwambia inabidi umuombe msamaha hata kwa kujitetea!

Huyo Lulu sio rahisi tena kuwa rafiki yako akidhani ulimsaliti wakati huo huo anajua fika hakufanya sahihi. Kama ni mwelewa atajirudi akuombe msamaha!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba nareport vitu vinavyohusu mahusiano yao?[emoji134][emoji134][emoji134]
Utaenda kumweleza hapo juu....sasa haitaingia akilini umweleze ulimwachia mahusiano yake ilihali kumbe ulikuwa mfukunyuzi kila siku unamwambia hili na hili...atajiuliza mbona ulikuwa unachagua ya kumwambia?
 
Navyojua mie kuna shemeji halafu kuna rafiki na shemeji. Frank ni rafiki yako na shemeji yako!
Ungemwambia tuu kama rafiki, sasa hukumwambia inabidi umuombe msamaha hata kwa kujitetea!

Huyo Lulu sio rahisi tena kuwa rafiki yako akidhani ulimsaliti wakati huo huo anajua fika hakufanya sahihi. Kama ni mwelewa atajirudi akuombe msamaha!
Kumbuka Lulu nae ni rafiki yangu hivyo ningemwambia Frank ningekuwa nimemsaliti. Kazi yangu ilikuwa tu kumwambia kuwa anachofanya sio sahihi ila maamuzi ya kuacha yalikuwa juu yake.

It was not my place to intervene, maana hayakuwa mahusiano yangu.
 
[emoji57]
Naona kama watarudiana hv achana nao usije onekana mbaya
Mwanaume anampenda sana mwanamke, najua tu ipo siku atamsamehe. Hata hii ya kunilaumu naona tu ni anatafuta pa kutulizia machungu.
 
Kumbuka Lulu nae ni rafiki yangu hivyo ningemwambia Frank ningekuwa nimemsaliti. Kazi yangu ilikuwa tu kumwambia kuwa anachofanya sio sahihi ila maamuzi ya kuacha yalikuwa juu yake.

It was not my place to intervene, maana hayakuwa mahusiano yangu.
Unaangalia upande wako tuu ili uwe safe, usionekane mbaya!
Angalia moyo wa Frank anayeumizwa bila sababu huku nawe ukijua!
Wote ni rafiki zako, ndo maana ukamuonya Lulu vipi kuhusu Frank?!
 
Nipe namba zake hebu...
Mie ni mtaalam wa kuomba msamaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uombe kwa niaba ya auntie sio?
 
Back
Top Bottom