Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mkwe...
Wewe itisha glass yako ya wine! Waache wagombane mwisho waatamua iweje..
Alafu wape muda! Rafiki yako atabaki kuwa rafiki yako bila kujali udhaifu wako...
Yote uliyokaa kimya ni nia ya kujenga..! Ko na sasa hivi kaa kimya muda utaamua .
Ukijifanya unataka favour uside na mmoja kuomba msamaha inakula kwako.