Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,406
- 102,527
Hata uki enda kwa mganga kutambika jina langu, wata kujibu nilisha zikwa.😹😹😹 Nina uchawi mkali usijaribu utakwenda na maji..!!
Hata uki enda kwa mganga kutambika jina langu, wata kujibu nilisha zikwa.😹😹😹 Nina uchawi mkali usijaribu utakwenda na maji..!!
Niliuziwa kiwanja ambacho hakikuwa mali ya mhusika.Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee,
Wakati mwingine unaweza kuuziwa kiwanja kumbe ni cha mtu mwingine pasipo wewe kujua,
Mimi binafsi jirani yangu alisogeza mpaka kisa kiwanja chake ni kidogo na amjenga nyumba imejaa eneo lote hakuna hata pa kugeuka, nilimpotezea but hadi leo hatuna maelewano mazuri
Umewahi kukutana na kadhia yoyote inayohusisha kiwanja/Plots?
Share experience ulifanikiwa vipi kumaliza changamoto yako, tuambie tujifunze
Nipeleke kwa huyo Mzee, Nimetapeliwa 17M pesa ya mkopo.Jamaa yangu mmoja hivi mzaliwa wa Tanga Handeni aliuziwa eneo huko mapinga bagamoyo mwaka 2021 mwishoni baada ya mwezi tukaenda kutembelea kwa ajili ya kusafisha eneo tukakuta kunajamaa amesha anza ujenzi kwa madai ya yeye ni eneo lake ameuziwa mwaka 2018 na mtu huyohuyo aliyemuuzia jamaa yangu.
Tukamtafuta muuzaji akawa anatupiga chenga kila wakati ilibidi tuulizie anapoishi na tulifanikiwa kufika kwake bahati nzuri tukamkuta, tulimuuliza swali moja tu je mmiliki halali wa eneo ni nani ni yule aliyeanza ujenzi au huyu jamaa, muuzaji akawa anajibu kwa dharau na kusema kamalizaneni wenyewe yeye hayamuhusu hayo.
Ilibidi tutoe tamko mbele ya mke wake na watoto wake kuwa chochote kitakachotokea tusije kulaumiwa na tukampa siku saba ajitafakari na atupe majibu yaneyoeleweka pia atupatie eneo lengine, jamaa akapuuza siku saba zikapita hatukuiona simu yake wala ujumbe wowote.
Ilitubidi tusafiri hadi Liwale mkoa wa lindi kusini mwa Tanzania huwezi kuamini ndani ya siku 7 baada ta kuisha zile siku saba tulizo mpa yule jamaa alipofuka akawa haoni ghafra tu hazikupita siku nyingi jamaa akapata ajali na kukatwa miguu yote miwili wakatati anaenda hospitali kuhangaikia macho yake, hapo ndipo jamaa zake wakaanza kupiga simu na kubembeleza tumsamehe ili aweze hata kuona kwani anaishi kwa shida sana tulicho wajibu ni kuwa mmesha chelewa, jamaa mpaka leo bado ni kipofu asiyekuwa na miguu
Dhulma haifai.
Watu watakuja kuchungulia tu, then wanakitafutia mteja wanauza.Nimesoma huu uzi nimegundua bora niweke fence kwenye viwanja kabla sijaua mtu.
Hiii mimi ilinisaidia mnooooNimesoma huu uzi nimegundua bora niweke fence kwenye viwanja kabla sijaua mtu.
Hii bado mkuuKwani JF Imefunguliwa lini?
Yaliwahi kunikita mara kadhaa, nilichojifunza usiwa na haraka sana kwenye unuhuzi. Chunguza hata Kwa kulipa watu
HakikaWatu wengi walishapewa hizo siku saba na hakuna kilichotokea , hata hii itakua ni stori ya kutunga.
Ubaya ubwela sioUnadhani yeye alikuwa hajui kama kuna sheria? Tena ukute ndio alitegemea wataenda huko ili awasumbue zaidi kIsha aendelee kutapeli wengine. Walichofanya ni safi sana
Sasa mimi nakufufua mwenyewe siendi kwa mganga 😹😹Hata uki enda kwa mganga kutambika jina langu, wata kujibu nilisha zikwa.
Jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa 😂😂Sasa mimi nakufufua mwenyewe siendi kwa mganga 😹😹
Polenii, nimewahi angalau nmeambulia chochote....ila majiranii😢Ulithi wa babu kijijini majirani wakaanza kusogeza mipaka, watoto na wajukuu tupo bize mjini na ubwabwa na maharage, ilibidi kupotezea ni uzembe wetu...
Wewe naona unatafuta kuzikwa kwa picha na familia yako 😹😹Jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa 😂😂
tufanye uchawi haupo mkuu...
swali...
ni nini kilifanya mti mkavu uliokuwa umeanguka usimame tena huko tabora?
hili ni tukio halisi sijatunga