Hao ni wale wanaojifanya Bado watoto wadogo. Ole wako mtu anayejiona mdogo umshushue mtakosana.Salamu napokea vema japo Kuna wengine naona too much jamani unakuta mtu ni mumama kabisa nae ananambia shkamoo ๐ค
Mimi wa 55 vipi, ama age imeenda sana.Ninavyopenda uzee, vijana wangu nikiwaambia waniite mama wananigomea wananiita sister namind kinoma..!! ๐น
Mi uzee naupenda na sasa hivi natamani kudate mzee ila sio age ya baba yangu..!
Wale wazee wa 45yrs ndo target yangu..!!
Sasa kwenye platform kama hii naficha miaka ili iweje yaani ?Uzoefu unaonyesha wanawake wengi wana tabia ya kuficha umri halisi. Mfano mwanamke akisema ana miaka 30, kiuhalisia utakuta ana 40. Na katika watu wanaochukia kuambiwa ni wazee basi ni wanawake.
Hainiumi chochote, nimekuambia uzoefu wangu kwa wanawake wengi, nothing personal.Sasa kwenye platform kama hii naficha miaka ili iweje yaani ?
Natafuta mume au
Wewe sijui ni wangap unasema hivi
Najiuliza nifiche ili iweje
Mnashangaza sana
Honestly sijafika miaka 30 then najiuliza imewauma mimi kua sijafika miaka 30?
Umeni qoute ndio ukasema hivyo maana yake umenilenga hata mimi nimeona umetaja umri wako hapo shikamoo babaHainiumi chochote, nimekuambia uzoefu wangu kwa wanawake wengi, nothing personal.
Nimetaja kundi Zima, huenda na ww ni mmoja wapo. Nimemwambia huyo mrembo aje kwangu atapata mambo mazuri. Yaani atajuta siku zote alikuwa wapi kutokutana na mimi. Kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuzunguka sehemu nyingi duniani najua handling. Na kwenye upande wa kipato si haba.Umeni qoute ndio ukasema hivyo maana yake umenilenga hata mimi nimeona umetaja umri wako hapo shikamoo baba
Anyway mkuu no problem ๐
Okay ๐Nimetaja kundi Zima, huenda na ww ni mmoja wapo. Nimemwambia huyo mrembo aje kwangu atapata mambo mazuri. Yaani atajuta siku zote alikuwa wapi kutokutana na mimi. Kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuzunguka sehemu nyingi duniani najua handling. Na kwenye upande wa kipato si haba.
Wow ๐ nzuri sana hiiKama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi. Ningechagua miaka 70
Ila King Kong ๐ ๐Thank God, all these bottles I popped, all this paper I been gettin', all these models I popped.
๐น๐น๐น 55 upo sawa na dingi, sa itakuwaje?Mimi wa 55 vipi, ama age imeenda sana.
Wacha weeh! mzee wewe unaamasisha..!! ๐น๐นNimetaja kundi Zima, huenda na ww ni mmoja wapo. Nimemwambia huyo mrembo aje kwangu atapata mambo mazuri. Yaani atajuta siku zote alikuwa wapi kutokutana na mimi. Kwa umri wangu na uzoefu wangu wa kuzunguka sehemu nyingi duniani najua handling. Na kwenye upande wa kipato si haba.
Anataka kukufia๐คฃ๐คฃ๐น๐น๐น 55 upo sawa na dingi, sa itakuwaje?
Unataka nikuite babe kweli itasound good?
๐น๐น๐น Mzee andika wosia kabisa.!We nipe nikifa hutahusika. Wanawake wenyewe nyie wa chips na bia za makopo, mtamuua nani?
๐๐ ningekuwa siwajui hapo sawa. Ila nyie mnaolowana kabla hata ya kuingia room. Labda mtawatisha mapeasant.๐น๐น๐น Mzee andika wosia kabisa.!
Kwahiyo kwa hiyo age unatumudu mabinti zako? Sio unafinyiwa unakata moto, HATUTAKIII ๐น๐น