Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?Kwa intelijensia yangu hauko floor chache kufikisha 30 but uko kwny 30 unaelekea 40
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima 😅😅🙌🏼......hayo ndo mawazo hutukumba wenye umri huo....
Utu uzima mwenye siri yake ni wewe...😅😅😅😅 kiddin...Mara zote Intelligensia yako hua ipo sahihi ?
Kama ndio basi kwa mara ya kwanza umeenda kombo
Humu JF kuna watu tunajuana physically hao pekee ndio wenye kujua ukweli diha 🤗
Kama ni hivyo basi nina kiherehere cha kuwaza mawazo ya watu wazima 😅😅🙌🏼
Nikuokoteee mawe nikutandike hapa hapa 😅😅Utu uzima mwenye siri yake ni wewe...😅😅😅😅 kiddin...
Yeah nimekuelewa sema hii post yako imenikumbusha hizo moviesNatamani kuwe na sehemu ya voice
Sijaongelea kifo mbona jamani
Tena ukifika 30..yani 40 haichelewi😃😃😃😃Nikuokoteee mawe nikutandike hapa hapa 😅😅
Mwenzio nilidhani 30 mbali lol😭🙆♀️
Sawa mkuuYeah nimekuelewa sema hii post yako imenikumbusha hizo movies
Kabisa mkuuUzee hauepukiki!
Ni suala la muda tu