Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,632
- 102,575
Mzee anachotaka apewe amwage show 😹😹Oyaa umeyavagaa 😆😆
Mzee anachotaka apewe amwage show 😹😹Oyaa umeyavagaa 😆😆
Asije kuwa nchemba majenereta 😹😹Nyie wa hivyo vice versa is true
Sisi ndio tunawapokea washamba mjini hapa, wadada wa mjini tunawaachia washamba wawachanganye. Lakini mwanamke ukijifanya umezibuka, ukifika hapa tunafunga hesabu na hatulazi kwa mkopo, bali cash tu.Eeh! Eeh! Penzi la mambele ndo likojers hilo?
We mzee muhuni muhuni unaonekana na umegoma kuzeeka..!! 😹
Nawafatilia nina filimbi mkononi atakae cheza faulo kadiMzee anachotaka apewe amwage show 😹😹
😹😹😹 Kwahiyo uko full package mzee?😂😂Nyie huwa mnawatisha wazee waliotoka vijijini wakaja mjini na kuajiriwa. Sisi tuko humu humu mjini, tuna ujanja wa mjini hadi wa ughaibuni. Inshort hatubahatishi mambo haya.
Jizaziii yooo mi sitaki 😆Asije kuwa nchemba majenereta 😹😹
😹😹😹 55 upo sawa na dingi, sa itakuwaje?
Unataka nikuite babe kweli itasound good?
Hahaha ujue kama haujafika hizo age unaona ni umri mkubwa sana ila ukifika unaona mbona bado nadai(isave hii comment ,Mungu akikufikisha huo umri utakumbuka haya maneno).Anataka kukufia🤣🤣
Kwa bed aanguke presha(jokes
😹😹😹 Show napewa na cash napewa hakuna kausha damu..!!Sisi ndio tunawapokea washamba mjini hapa, wadada wa mjini tunawaachia washamba wawachanganye. Lakini mwanamke ukijifanya umezibuka, ukifika hapa tunafunga hesabu na hatulazi kwa mkopo, bali cash tu.
😹😹😹 mtsiewwwwNawafatilia nina filimbi mkononi atakae cheza faulo kadi
We muache, anataka kuonja sumu kwa kulamba..!! 😹Jizaziii yooo mi sitaki 😆
Na wewe unataka kusemaje? 😹😹Hahaha ujue kama haujafika hizo age unaona ni umri mkubwa sana ila ukifika unaona mbona bado nadai(isave hii comment ,Mungu akikufikisha huo umri utakumbuka haya maneno).
Just imagine Diddy(Puff Daddy) ni 56 lakini bado anawapelekea Moto mabinti na mtu wa Starehe na Bata la kufa mtu 😛 😛.
😂😂 Hao akina Nchema ndio hao washamba nakuambia wamekuja mjini ukubwani,wameletwa na elimu wakapata ajira. Akichukua mwanamke anajifanya kumnywea vibia na sijui vumbi la congo, akimaliza lazima apoteze. Mimi sio wa hivyo, mimi nakuvaa mzimamzima, utavalia underwear mlangoni. Wala sinywi, bia sijui kuvuta msuba, sijui vumbi la congo, niko fresh bila kutumia chochote.Asije kuwa nchemba majenereta 😹😹
Eeeeh King unataka kusema je 😅😅Hahaha ujue kama haujafika hizo age unaona ni umri mkubwa sana ila ukifika unaona mbona bado nadai(isave hii comment ,Mungu akikufikisha huo umri utakumbuka haya maneno).
Just imagine Diddy(Puff Daddy) ni 56 lakini bado anawapelekea Moto mabinti na mtu wa Starehe na Bata la kufa mtu 😛 😛.
Wenye umri mdogo wanawaona wenye umri mkubwa kama wamekata ringi flani hivi kwasababu hawajaufikia huo umri ila na wao wakija kuufikia wanakuja kugundua mbona umri mdogo tu.Na wewe unataka kusemaje? 😹😹
Mi napenda 😅We muache, anataka kuonja sumu kwa kulamba..!! 😹
😂Hao akina Nchemba ni unfit, wanaendekeza vyakula vya mafuta, na bia za Bure za serekali kwenye fridge. Mimi hayo ya kuvaa miwani kuduwanzi simo.😹😹😹 Show napewa na cash napewa hakuna kausha damu..!!
We jitape halafu ukorome km nchemba 😹
Hahahaaa kukoroma hakuhusiani na umri ,Piemu yeye alikuwa ana shida zake tu labda uchovu mwingi au alilala vibaya , kuna dogo ana 29 lakini anakoroma sema Dogo ana pilikapilka mingi sana akikaa sehemu upepo ukamptia analala.Eeeeh King unataka kusema je 😅😅
Kwamba aje hiyo hamkoromi kama PM
Age go mnajitetea kwa wivu mkubwa 😅😅 I wonderHahahaaa kukoroma hakuhusiani na umri ,Piemu yeye alikuwa ana shida zake tu labda uchovu mwingi au alilala vibaya , kuna dogo ana 29 lakini anakoroma sema Dogo ana pilikapilka mingi sana akikaa sehemu upepo ukamptia analala.
Hapana age go tupo vizuri ,faya juu ya faya ,show show mandonga mtu kazi bila Vumbi la congo ,mambo ya jenereta ni kulala vibaya tu.Age go mnajitetea kwa wivu mkubwa 😅😅 I wonder
Wow hongera sana wewe na wenzio so wewe una miaka mi ngap ndugu mhengaHapana age go tupo vizuri ,faya juu ya faya ,show show mandonga mtu kazi bila Vumbi la congo ,mambo ya jenereta ni kulala vibaya tu.