Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,151
- 9,180
Ila una hasira sana, haipendezi mkuuπππππΉπΏπΉπΏ utani ni sehemu yangu ya maishaAgain punguza ujuaji
mtu akikupa nafasi ya kumkaribia
Acha kujifanya unamjua sana right?
Asante
sasa mazoea yakomee hapaπ«΅π
Una hali gani mkuu?
Hilo liko wazi wala sipingi kabisaView attachment 3688305Timu za Kariakoo huwa hazinikoseshi usingizi.
Hizi ni timu za Propaganda za Ccm, haya kafuatilie original post wanaomtukanaga Mama utashangaa leo matusi yameishia wapi?
Upo active dearAnita Makirita
Nina soga na wewe dear
Wow very strong πͺπ»Ukitaka uwe na muonekano wa ujana mfuatilie uyo jamaa apo chini, yeye ni mfano mzuri
Kuufikia uzee ukiwaza utakua dhaifu sana na pengine ukawa unakufa taratibu kwa maumivu makali...Why?
Yaan dah sema ukiwa na pesa kuna unafuuKuufikia uzee ukiwaza utakua dhaifu sana na pengine ukawa unakufa taratibu kwa maumivu makali...
Usiriazi wa kuzidiiπYaan dah sema ukiwa na pesa kuna unafuu
Njee ya mada hiyo avatar π ππΌ
Dah imebidi leo niulize πUsiriazi wa kuzidiiπ
ShukranHata yako pia ni nzuriπ€
Ili nguvu ya ile mechi isipungue.FOREVER YOUNG π₯Ή
Umewahi kutamani usizeeke, yaani forever uwe young?
Mimi natamani forever niwe young
Lakini je ni kwamba tunaogopa kuzeeka au tunaogopa kua wa dhaifu kutokana na uzee ?
Kipindi cha nyuma nilikuwa najiona mtoto au kijana, lakini sasa naanza kutambua kwamba siku za mbele, uhai ukiwepo, nitakuwa mzee
Na fikiria kama nikiwa mzee nitakua na nguvu kweli au itabidi nisaidiwe baadhi ya mambo ambayo kwa sasa nayamudu mwenyewe bila kuitaji msaada
Zamani nikiona mtu ana miaka 30 nilihisi ni mtu aliyezaliwa zamani sana
Leo hii nimebakiza ngazi chache kuingia floor ya 3, yaani miaka 30!
Nafikiria muda umekimbia hivi lini?
Hivi tunatamani kua young forever
Au tunauhofia uzee na kashkash zakeπ’
Maana uzee unakuja na mengi
Sote tunaona kijana na mzee wanatofautiana vingi sana
Ukiwa mzee na kama hukua mtu wa kuzingatia mazoezi na chakula cha afya enzi za ujana wako uzee unakua ni mateso
Haya hapa ni miongoni mwa magonjwa yanayoweza kuwapata wazee
Na haina maana vijana hayawapati magonjwa haya
Na pia sio kila mzee hupata haya magonjwa
π
Presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Tezi dume kwa wanaume
maumivu ya viungoo, udhaifu wa mifupa matatizo ya kuona na kusikia pamoja na matatizo ya kumbukumbu
Kwenye mjadalaπ
1. Kama ungepewa nafasi ya kubaki na umri mmoja milele, ungechagua miaka mingapi, na kwa nini?
2. Unajisikiaje unapojiangalia kwenye kioo na kuona mabadiliko ya umri?
Mvi zikianza kuota, utazikubali (Unazikubali )au utapambana nazo kwa Super Black na kunyoa upara?
3. Unafanya nini ili kudumisha muonekano na afya yako?
Gym, skincare, kula vizuri ?
4. Unaogopa kuzeeka kwa sababu ya kupoteza ujana na nguvu, au unaona ni sehemu ya kawaida ya maisha?
5. Kama ungekuwa na option ya kubaki kijana milele ungechagua kutokuzeeka?
Karibuni Great Thinkersπ€
ShesRise_1 βοΈ
Hiyo ndio sababu hutamani kuzeeka ?Ili nguvu ya ile mechi isipungue.
Pamoja sanaaShukran
πPamoja sanaa
Jitahidi kujiwekeza mngali vijana, mkifika Uzeeni huna noti, ni rahisi kuitwa MchawiNimecheka dah ukizeeka bila hela mchawi π π ππΌ
Ni kutojiamini, maana ukiwa na noti hata binti wa mwaka 2000 anakukubalia iwapo utatakaWeeee kuna wazee wa hovyo π π
Kweli Wazee hatuna bahati πEndelea kusubiri babu π π
Kwamba hao wazee hawajiamini?Ni kutojiamini, maana ukiwa na noti hata binti wa mwaka 2000 anakukubalia iwapo utataka
ChaiSisi wengine tumechagua kuwa Wazee wema π€
Mtakula mlipopeleka mbogaKweli Wazee hatuna bahati π