Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,144
- 9,163
Alafu akinijua kua mi ni super star alexido atanishobokea mwenyewe🤣🤣🤣 na hela unazo mpa atanihonga mimi,na tampa maelekezo yoteMy dia sina binti kashaondoka!! two weeks ago wamefungua chuo.....
nina last babe ana 8 years hafai kwa matumizi.
kama kweli wewe kidume mtafute tukutane kwenye geti!.
Ukitaka usizeeke isiwe mchoyo ukiombwa tunda toa kiroho safi na kwa utiiSitaki uzeee 💔💔😅😅
Unataka kuvuka mstari mwekunduUkitaka usizeeke isiwe mchoyo ukiombwa tunda toa kiroho safi na kwa utii
Sorry mkuu🙏 si ni watu wazimaUnataka kuvuka mstari mwekundu
Haya kazana
nakuombea ndoto zako zitimie.Alafu akinijua kua mi ni super star alexido atanishobokea mwenyewe🤣🤣🤣 na hela unazo mpa atanihonga mimi,na tampa maelekezo yote
Ndio tutaniane bila kuvunjiana heshimaSorry mkuu🙏 si ni watu wazima
Sijafurahi maana mwisho wa yote ni kutoweka tu katika uso huu wa duniaHaya umefurahi🤗?
Haya sawaSijafurahi maana mwisho wa yote ni kutoweka tu katika uso huu wa dunia
Una hali gani mkuu?Tayari huko Shalulile.
🙏🙏🙏 Amina mamamkwe hela zangu za show itabidi nawe uzile🤣🤣nakuombea ndoto zako zitimie.
Hapana dada mbona sija kuvunjia heshima sababu mambo haya ni ya kawaida kwa mtu mzima yeyote hakuna kipya kukuvunjia heshima labda kama ningelikitukanaNdio tutaniane bila kuvunjiana heshima
Haya sawa hakuna tabuHapana dada mbona sija kuvunjia heshima sababu mambo haya ni ya kawaida kwa mtu mzima yeyote hakuna kipya kukuvunjia heshima labda kama ningelikitukana
Sasa mbona unasema nimekuvunjia heshima mkuu?Haya sawa hakuna tabu
Duh kijana kashangilie ushindi wa grandSasa mbona unasema nimekuvunjia heshima mkuu?
Haya poa dada🤣🤣🤣 ila nilicho kwambia kuhusu gym master kifanyie KAZI🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿 jihan oyyeeeDuh kijana kashangilie ushindi wa grand
Gym master ndio nani?Haya poa dada🤣🤣🤣 ila nilicho kwambia kuhusu gym master kifanyie KAZI🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🙏🇹🇿 jihan oyyeee
Mhhh dada angu mbona unasahau hivyo huja fika kweli 45yrs mkuuGym master ndio nani?
Ooh kumbe ulimaanisha hivyoMhhh dada angu mbona unasahau hivyo huja fika kweli 45yrs mkuu
Okay lakin usiwe unapunguza umrri jikubali Fanya mazoez kula matunda mkuuOoh kumbe ulimaanisha hivyo
Basi nilihisi labda tumeliongelea hapo nyuma
Shukran sana
Chuma muhimu💪
Again punguza ujuajiOkay lakin usiwe unapunguza umrri jikubali
AsanteFanya mazoez kula matunda mkuu