jogijo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 260
- 490
Ndugu, poleni na hekaheka za kupambana na huyu kiumbe Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nikita form two miaka ileeeee, kulikua na jamama tumezoeana sana kiasi kwamba ilikua lazima tukae tupige story kila siku jioni. Huyu mama alikua mke wa mtu japo walikua wametengana na mumewe ambae nilikua nafahamiana nae.
Niseme ukweli yule mama nilijikuta naanza kumkula na ndio mwanamke alienifungulia dimba la mapenzi hadi sasa. Yule mwanamke alikua mtam sana, na alikua akivaa shanga kiunoni zilizokua zikimpa munkali wakati wa gegedo pale unapozichezea.
Siku moja nikiwa na miadi nae Kua saa tano usiku niende baada ya mumewe kuondoka, nilienda home nikala nikajifanya naenda kujisomea ndani(geto) ili wazazi wakisinzia mimi nitoke. Baada ya mda niliona pamekua kimya sana nje na hivo kudhani kuwa walikua tayar wamelala, nilitoka kwa kunyata na nilivoona viatu (kandambili) vinapiga kelele nikaamua kuzishika mkononi. Wakati natoka kumbe Wazeee wananiona tu kupitia dirishani.
Nilienda nikagonga mlango mama wa watu akafungua mlango na nikazama na kuanza shughuli na nilipomaliza nikamshukuru na kurudi home. Ile naingia tu geto nikakuta mzee kajilaza kwenye kitanda changu.. daaah ilikua Aibu sana, maana aliniambia pia kanifuatilia hadi naingia chumba cha yule mama.
kesho yake asubuhi bi mkubwa kanisimulia kisa chote hadi wakati nakumbatia kandambili zangu. ilikua ni fedheha kwangu.
nimekumbuka kisa hiki nikajikuta nacheka mwenyewe...
NB: Hii dhambi nilishaitubu na naamini Mungu alishanisamehe maana na mm nimeoa sasa na naona wivu sana kuchukuliwa mke wangu.