Hii inanikumbusha kuna siku kwenye daladala kuna jamaa nasmikia anaongea na simu kwa sauti eti anamuuliza mpenzi wake,
"nipo kwenye daladala ndo narudi nyumbani vipi umepika nini?"
"Unafanya nini?"
"Umevaa chupi rangi gani?"
Kwa kweli alipofika kwenye rangi ya kufuli hakuna aliyeweza kujizuia kwa sisi tuliyekuwa karibu nae, wote tulianza kucheka halafu kama tuliambiana tulicheka wote kwa pamoja.
Kuna watu makauzu sana
Baby utajenga nyumba lini...lini utaolewaaa...utapandishiwa mshahara lini? ...likizo utachukua lini..MIe Christmas ntaenda kula uchaggani Je wewe?
Haya ndo maswali uyapendayo????????? naulizaaaaaaaaa
Khaaa huyo nae alizidi wenzie maswali km hayo wanaulizia vyumbani. Af mi nashindwa kuelewa mtu akijua ulichovaa itamsaidia nini
Sasa hasira zako zinatusaidia nini sisi? Si upeleke kwa huyo aliyekupigia?
Mtu umepigiwa, tena unajua kabisa atakuuliza nini! Kakupigia umepokea, amekuuliza umemjibu, halafu unakuja kujifanya eti umekasirika.
Hayajakukuta haya?
Price makubwa haya lol..!!
Mpaka mwanaume anakupigia simu na kukuuliza umevaaje ina maana kuna mazingira fulani mshatengeneza ya kutamaniana.Sidhani kama kuna mwanaume ambaye huna mazoea naye kivile akurupuke usiku na kuuliza umevaa nini.
gwijiwewehahahha umbea tu watu tuache kulea kisa tuko kwenye daladala na wambea kama nyie
hapa mahaba yanasisimua mpaka tuanmuwaza beibi kila muda
chezea mtoto anayochezea "maiki" nini?
nyie kaeni hvyo hvyo na aibu zenu wakat wenzenu hawana kinyaa kwann tusiwawaze kila muda
Stress zako tu, ukute huna hata wa kukuuliza ila unatafuta promo!
Zile mambo za sipokei rushwa kwenye milango ya ofisi za CCM.
Hahaha kwahyo unataka kutuambia anatuzuga tu au alilipenda hlo swali?
hahaha!! maswali mengine bwana!Na wewe yanakukuta haya.....! yani sijui wapoje
hahahahaha..........Hey babe s umevaaje?
Hapo mbona km umeeleza kuanzia katikati..maana naona kuna mwanzo mpk inafika kuulizana umevaa nini..!ila sidhani km wakinadada wengi mnajua mnachotaka forsure..Tena nasema sipendi na sitaki msione nawanyamazia na kukata simu sipendi sema tu siwezi kutukana. Unapiga simu usiku badala ya kuongea mambo ya maana unataka kujua nimevaaje, he! itakusaidia nini wewe, am i your Girlfriend?
Hata nisipovaa haikusaidii kitu, na hata nikivaa overall usiku haikusaidii. Baadhi ya wanaume mpoje, yani hadi ujue Msichana au Mwanamke usiku anavaa nini?
Ongeeni mambo ya msingi bwana kama huna its better usipige simu