Hivi kuna watu bado wanavaa suruali za kunyoosha mapanga kihivyo![]()






dah…Si una jua ma jobless, tuki okota hela 😂🤣🤣🤣Safi, dinner hio.
Jobless unajiita Intelligent businessmanSi una jua ma jobless, tuki okota hela 😂🤣🤣🤣
Sihitaji kufahamu lakini..!😎Hapo anamzungumzia Mshamba😂. Yule aliamua kutuachia mapenzi yetu wenyewe
😂😂😂😂 Ananitia wivu😂😂😂
Niamini Mimi, Kaka hana shida..!!
anapenda akikuona unaruka ruka hivyo kama popcorn ndiyo raha yake..
Nilinyuka vitu hatari sana Leo ungeniona usingenijua🤣🤣Turingishie basi ulivyopendeza leo kanisani 😀
Khaaaaa!!! 😂😂😂😂Relax babe
I’m all yours hune, I’ve prepared something delicious and sweet for you.
🤣🤣🤣 Jr atakonda aunt yake ananenepa🤣🤣🤣🤣
Mbona wakubwa hatunenepi sasa, ila kwa style hiyo inabidi nilete box nyingi kwaajili ya Junior na mamdogo wake 😂
Usije kusema sijakwambia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Fal* wewe
🤣🤣🤣🤣 nitakuja unikandeKhaaaaa!!! 😂😂😂😂
Mwali una kiranga weye!! Usije kukimbia sasa!!
We andaa naye anaanda mkikutana kitawaka
🤣🤣🤣🤣🤣 we nawe unataka tumwage mchele kwenye kuku wengiPapa unamaanisha "tamu"?🤣ile something katikati ya mapaja yake?very sweet and delicious?🤣
Nakuja huko huko🤣🤣🤣. Nitamwambia napenda slow motion😂😂😂Usije kusema sijakwambia 🤣🤣🤣
Andaa barafu ya kukandia
😂😂😂😂 usijali atafanya hivo🤣🤣
Kukikucha aniite herufi ya kwanza ya jina langu or lolote zuri sio zulu🤣,hili zulu waite wengine.
Utaua🤣🤣🤣 Jr atakonda aunt yake ananenepa
Sawa babeSihitaji kufahamu lakini..!😎
Njoo nikusaidie kulipepea na ungo 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nitakuja unikande
😂😂😂😂Utaua