Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Checheeeeeeeeeeeeee zitoke, motooo 🔥Tayari mbona hapo wanasubiri kufanya intro za gusanisha hasi na chanya 😂😂😂
Checheeeeeeeeeeeeee zitoke, motooo 🔥Tayari mbona hapo wanasubiri kufanya intro za gusanisha hasi na chanya 😂😂😂
🤣Kasema utakoma 😂😂😂
Ukitoka hapo na kashangazi juu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hali ya hewa mbona iko vizuri bro mvua zimenyeshapo kidogo!!Acha kabisa🤣
Ila hii joto huwa mna go crazy kivipi wandugu?🤣
Hamna kuchelewa,na vile nimetoka kifungoni ndio kabisa 🤣Kasema utakoma 😂😂😂
Ukitoka hapo na kashangazi juu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Sema kweli shem? 😂😂😂Akifa nitarithi
Umepambana 😂😂😂🤣🤣🤣 sijakusema kabisa. Ila Lamony amenisaidia kukuita sana, Mimi nilijua washakunyakua😒
😂😂😂😂 komaa hakuna kuachikaSitaki mchezo😂
Eeeh, lazima hiyo😂Umepambana 😂😂😂
Kabisa ili watoto walelewe na baba yaoSema kweli shem? 😂😂😂
Huyu ni forever and ever❤️ 🔐😂😂😂😂 komaa hakuna kuachika
😍I love you babe, just take care.
Usimalize nguvu sanaa, me waiting for you😌
Ndiwoo 😂😂😂Khee😂😂😂😂
Wewe wasemaHuyu ni forever and ever❤️ 🔐
Kujizima data 😂😂😂🤣🤣🤣 unawezaje?
Nipe mbinu😇
Relax babe😍
Hazitoisha zipo kwa ajili yako ila umeni disappoint leo na sijui utaniambia nini kuhusu kutofika kunipokea,wait nifike home kwanza.
😂😂😂 mimi nitauaKujizima data 😂😂😂