Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Utaniua mbavu zangu wewe
Alikoroga mpk litakuwa rojorojo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Eeh, Yaani ile mchawi ya maji ya moto tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hata wakubwa tunakula tu halafu wala haturingi
Mi nalamba wanashangaa box zinaisha ndani ya muda mchache ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mi nalamba wanashangaa box zinaisha ndani ya muda mchache ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mbona wakubwa hatunenepi sasa, ila kwa style hiyo inabidi nilete box nyingi kwaajili ya Junior na mamdogo wake ๐Ÿ˜‚
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom