Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,320
- 16,560
Na tuko karibu so hakuna kisingizio🤣Tayari mbona hapo wanasubiri kufanya intro za gusanisha hasi na chanya 😂😂😂
Na tuko karibu so hakuna kisingizio🤣Tayari mbona hapo wanasubiri kufanya intro za gusanisha hasi na chanya 😂😂😂
😂😂😂 hilo balaaNdiwoo 😂😂😂
Me ntalea tyuu!! Mnipe pesa za cerelac za kutosha 😂😂😂🤣🤣🤣 nimecheka .
Nitakuletea tusaidiane kulea 😂😂😂😂😂😂😂
😂 utalamba yote hiyoMe ntalea tyuu!! Mnipe pesa za cerelac za kutosha 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Mkitoka hapo baada ya mwezi nianze kukuletea udongo na tuembe tubichiChecheeeeeeeeeeeeee zitoke, motooo 🔥
Kalikomoe papa mshkunda 😂😂😂Hamna kuchelewa,na vile nimetoka kifungoni ndio kabisa 🤣
😂😂😂Eeeh, lazima hiyo😂
🤣🤣🤣🤣 unajua una uchizi weweKalikomoe papa mshkunda 😂😂😂
Kaka yangu hana shida, atakuwa yupo busy tu ila akimaliza hekaheka zake atakutafuta kiroho safi..!!Thank you my wii 😋😋😍😍😍
Jamani napendwa me
Ila sijui km itapanda bro ako hapokei simu wifi!!!😔
🤣🤣🤣🤣 hivi kwanini huwa wanatamani kula hivi vitu?🤣🤣🤣🤣 Mkitoka hapo baada ya mwezi nianze kukuletea udongo na tuembe tubichi
Ss hivi atakuja, alikumiss sana.Na tuko karibu so hakuna kisingizio🤣
😂😂😂 kama ulijua vileSs hivi atakuja, alikumiss sana.
Muda wote ananisumbua nikuite 😂😂😂
😂😂😂 ipo km biscuit😂 utalamba yote hiyo
🤣🤣🤣 mimi ndio ilikuwa kazi yangu hiyo😂😂😂 ipo km biscuit
Kuna sister alijifungua sasa akawa na shida maziwa hayatoki, bas tukawa tunampa mtoto hiyo cerelac weee!! Tunasaidizana matumizi!!
Nilikuwa nailamba muda wote 🤣🤣🤣
Unamtetea? 😂😂😂Kaka yangu hana shida, atakuwa yupo busy tu ila akimaliza hekaheka zake atakutafuta kiroho safi..!!
Wasiwasi ndiyo akili, ila kwake usiwe nao..!!
Alikomeshe haswaaa!! 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 unajua una uchizi wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Alikomeshe haswaaa!! 😂😂😂
Siku nyingine lisirudie kukimbia kipindi
Beba afu tutajua kwanini 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 hivi kwanini huwa wanatamani kula hivi vitu?