Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Powa, but don't worry
Bro bwaana..!! Hizi issue nitakupea habari zake 'chemba'..!
Ahsante..!

Powa, but don't worry
Bro bwaana..!! Hizi issue nitakupea habari zake 'chemba'..!
Ahsante..!

Kwa Nini anisaidie?😁😁😅Mungu akusaidie sana mama
Watakua wapo wote SWEWii uko wapi mwenzetu?!! Sio kwa good morning hiyo
Au tayari ushaenda kwa bro? Tushakuwa zone tofauti?
I miss u too sweetie wiwii![]()
😂😂😂Bila shaka we lazima ni huyo wa kati😁😁😁😁
Mbona kama mpo wote swe?Acha tu broo wako anazubaa sana nitamtafutia msaidiz soon tu Ili anizabue makofi vizuri tuchangamke
Penz limepoa sana kama mkojo wa swala![]()
Kila hitaji lako uombalo kutoka kwakeKwa Nini anisaidie?😁😁
Turingishie basi ulivyopendeza leo kanisani 😀Kwa Nini anisaidie?😁😁
Unacheka nini Kantri? 😂
Wewe umeyataka!! 😂😂😂Yaani nampigia hapatikani, sijui kashanyakuliwa😭😭😭
Mnabebishana na chinoUnacheka nini Kantri?![]()

Itakuwa kashaenda huyu ananizuga hapa 😂😂Watakua wapo wote SWE
Kwa Mungu ndio alikwambia ushone koti kama unataka kupaa?au ndio unataka kwenda kumuona huko juu?Namshukuru Mungu kwa Yote
Za arushaKunipata this weekend labda uwe Next of Kin
View attachment 2817323
Oohh hallelujah,
😂😂😂 Chino wana man mtani wangu bhanaMnabebishana na chino![]()
hiyo kushona si ya Mungu, ni huyo fundi katika kutoa sadaka yakeKwa Mungu ndio alikwambia ushone koti kama unataka kupaa?au ndio unataka kwenda kumuona huko juu?
Sijayataka nionee huruma jamani😭😂Wewe umeyataka!! 😂😂😂
Umepiga TEKU fuko la pesa