Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

104793036_4324274064312608_6162007175847475834_n.jpg
 
Wanawake weusi ni wazuri, sijui kwanini wanawake weusi mnajichubua, America hata uwe umechanganya baba akawa mzungu na mama ni mwafrika bado utaitwa black, lakini wanawake weusi ni wazuri.

Napenda wanawake weusi awe light skin au mweusi sana, tena mweusi kweli kweli, wanaume tulio wengi hatupendi wanawake wanaojichubua, tunapenda wanawake wa kiafrika , mwanamke mweusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom