Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Ooh sawaHapana, chakula Cha waethiopia wanaita njera
Ooh sawaHapana, chakula Cha waethiopia wanaita njera
vitam lakini 😀
Sana, hii ni shawarma ya watu wa Syriavitam lakini 😀
Ungewatimua bana
Muda wa kutafuta pesa uheshimiwe



kwa kwelii. Sema wewe nyuki wa mashineni
Manyanza hung’ati unapiga kelele tyuu.!!





asante mkuu . kwakweli kupendeza kunaficha mengi sana .. ukiniona unaweza kudhani ni afisa wa TRA kumbe sina lolote mjini hapa





Hiki ni chakula gani mbona sijakielewa?Full dayati
View attachment 3043218
Woyooooo!!!Pitiku my favourite veggie
🤣🤣🤣🤣Mlongo uko
Tatizo dundo ndo huna kabisaa,![]()
Ukijichanganya umeisha 🤣🤣
Weekend twende chimbo ukapate dundo za maana,
Ukosoaji kama kawa hebu nione mapendekezo yako.




Ukijichanganya umeisha![]()



em sema kweliii? Ko huwa kinawalamba wadada wa watu huko uraiani? Njera/ Injera ni kama chapati za maji lakini sio. Chakula maarufu sana Ethiopia. Hapo zimemwagiwa nyama na hiyo ya njano ni kama pilipili ya unga.Hiki ni chakula gani mbona sijakielewa?