ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Tajirii umewaka🔥
Tajirii umewaka🔥
Una vitu vikali sanaa!🔥
Umemkomesha 😹😹😹kwa kwelii.
Hasira nilimaliza kwa ba tamuu, nlimchambaa aache kugeuza golini kwake km kijiwe. Khaaah
Mindula anayovaa km jua kali 😹😹😹Hata mie nakuunga mkonoo!!![]()
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜Mindula anayovaa km jua kali 😹😹😹
Uchilie bachii 😹😹ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
vitu lazima vikae mwiliniUna vitu vikali sanaa!🔥
Duuuh hatareee hii. LolNjera/ Injera ni kama chapati za maji lakini sio. Chakula maarufu sana Ethiopia. Hapo zimemwagiwa nyama na hiyo ya njano ni kama pilipili ya unga.
Gran Melia!!
BMW tena 😹😹😹Kiofsa zaidi
View attachment 3043913
Umekipenda nikununulie? 😹😹😹Yaan Wewe bila kuniita Mimi huna raha muone kwanza kwa hio unataka uende clinic na hicho kiatu?