Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

😀😀nimemkumbuka jirani yetu kipind Cha mvua mboga za majani anachuma mchicha bwas,majani ya maboga,majani ya kunde akipata kunde mbili Tatu akiwa Yan bwana wee hiyo combination hatari 😀😀
cocastic
 
nimemkumbuka jirani yetu kipind Cha mvua mboga za majani anachuma mchicha bwas,majani ya maboga,majani ya kunde akipata kunde mbili Tatu akiwa Yan bwana wee hiyo combination hatari
cocastic
alikua anatengeneza libenani, tena kunde ziwee mbaazi aaah wee najilamba had vidoleee.
 
Kuna Skecher na crocs nimeziona km za muuza uduvi 😹😹😹
Hapana sijavielewa kwakweli km anaenda kunywa ulanzi
20240429_184404-jpg.3043026

Mlongo, kwenye unafaili bhana.
Hebu nipe samples aisee 😂 😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom