Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mimi ndio nakwambia sasa anayepinga aweke picha yake hapa 😹😹😹

Nitajie wewe pisi ipi inakufunika?? Hamna wewe uko 👌
Anayebisha akale mtori na dagaa 🤣🤣
Hahah Wii sio kweli tunaziona hapa figure matata
Kwann mtori na dagaa 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom